Mbunge Mussa Khamis Silima afariki Dunia

Mbunge Mussa Khamis Silima afariki Dunia

hivi bunge haliwezi kuisha kabla hawajatoana kafara, hili ni bunge la ngapi kusikia mbunge kafa? RIP mpiganaji
 
RIP mheshimiwa, nilidhani ni wa huku bara nianze kushangilia jimbo lingine kuwa wazi kwa chadema.
<br /> <br / weka itikadi pembeni kifo ni kitu kingine. REST IN PEACE MUHESHIMIWA
 
Lala salama mheshimiwa na mkewe.mungu awaokoe na moto wa jehanamu
 
Nyie msiotumia Masaburi kwa nini mnasubiri ajali ndio mshangilie vifo vya wabunge wa CCM ili CHADEMA ichukue hayo majimbo badala ya kutumia nguvu yenu ya umma kuwaua hao wabunge ili myachukue hayo majimbo?

Yaani mawazo yako yamefanana na Avatar yako ambayo afya yake inachungulia kaburi. Eti wauweni wabunge. Kama lini CDM wameua hata kuku? CCM si mlimuua Wangwe ili mchonganishe CDM na wananchi mkashindwa? Nonsense! RIP Silima!
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
2011-08-23_1302.png
 
RIP Mpendwa wetu, Mungu atakupa Pumziko la Milele!! Ni Muda muhafaka kwa ndugu zetu waheshimiwa kutambua kuwa Posho wanazopewa kwa ajili ya madereva ni bora wakatafuta madereva wenye ujuzi na uzoefu!! Kwani kwa maneno ya marehemu mwenyewe ni kuwa dereva alikuwa anaovertake bila kujua mbele kunaweza kuwa na gari!! Just tunaweza kusema ni uendeshaji uliokosa tahadhari!!
 
Innallilaah waina lillahi raajuuni!!! bwana ametoa bwana ametwaa
 
Wanafamilia wamepata pigo kubwa sana, awe tu amewaachia watoto kama ni wadogo msimamo, la sivyo na hizi familia zetu za kiswahili watakoma
 
Back
Top Bottom