Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

Msomali tangu liini kaleta maendeleo?
 
Fact:

Mjomba ni mama ambaye ni ROma-STAMina

Na mama ndie muingizaji mkubwa wa mbolea nchini, na ndie aliemsomesha Waziri wa kilimo

Ko mnataka Bashe afanye nini? Aache kurudisha fadhila

Mpina ana facts sanaaaaa
 
jibu hoja mbolea ya bei rahisi inapatikana wapi uwasaidie Bwashe na wakulima ,siyo ukiulizwa unakata mauno au JF umekuja kutafuta bwana!
Kama huwezi hata kujua bei ya mbolea basi huna faida yoyote kabisa
 
Akija bashe atawapiga blah blah na kiingereza chake cha Nzega mtampigia makofi 👏👏👏.
 
Haya masalia ya yule maluun
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

Huyu Mpina kachanganyikiwa.
Hana jipya, hakumbukwi kwa weledi, ana mtimanyongo.
Atakufa kwa kihoro!
 
Back
Top Bottom