Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

Mpaka sasa mpina ni mmoja wa wabunge wachache wanaonyesha kuisimamia serikali kikamilifu kwa mambo ya msingi.Kilimo ni sector nyeti sana.ukiingiza siasa madhara yake ni makubwa kwa watu wengi zaidi kwa haraka
 
Una akili sana mkuu
 
Wewe mbona hujaficha ukichaa wako?
Kuzulumu fedha za Wafanyabiashara na kuuwa Wananchi na wengine kuwapoteza.

Kupiga Risasi Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano huku mkishangilia Mwenyekiti wenu wa UVCCM akisema dawa ni kutumia sindano ya sumu
Kutuaminisha kuwa analala na Mafaili na kulalamika kuwa Uraisi ni kazi ngumu wakati huo huo anakwenda kuiba na kuharibu uchaguzi.

Upinzani uko palepale na haufi Ng'o!

Tunamsubiri Tundu Lissu tumpe mapokezi ya Kifalme.
 
Ficha ukichaa wako. Kuwa kichaa siyo lazima ujitangaze kuwa wewe ni kichaa
#dishlimetilt
 
Kuzulumu fedha za Wafanyabiashara na kuuwa Wananchi na wengine kuwapoteza.

Kupiga Risasi Wabunge wetu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano huku mkishangilia Mwenyekiti wenu wa UVCCM akisema dawa ni kutumia sindano ya sumu
Kutuaminisha kuwa analala na Mafaili na kulalamika kuwa Uraisi ni kazi ngumu wakati huo huo anakwenda kuiba na kuharibu uchaguzi.

Upinzani uko palepale na haufi Ng'o!

Tunamsubiri Tundu Lissu tumpe mapokezi ya Kifalme.
We mjinga sana
 
Kwan mavi ya ng’ombe nayo si huwa mbolea au siku hizi hayatumiki?????
 
Namsifu mkongwe Jenerali Ulimwengu kwa kusema ukweli wake bila kupepesa macho. Hii inatupa tahadhari kuwa makini sana kama taifa kabla ya kumpa madaraka mtu yeyote ya kuongoza taifa.
Jee wewe una maoni gani? Au nani alaumiwe kwa chaguo hilo bovu?
 
Google huko ulimwenguni mbolea bei gani sasa hv per Ton,mbona simple tuu mnamuonea Bashe na kabla ya 2020 bei ilikuwa sh ngapi?
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

NJAA inamtesa kweli huyu, hastahili nafasi yoyote huyu, hana nia njema.
 
Back
Top Bottom