Huyu ana yake issue ya mbolea ni kama chambo fulani tu.Anayepinga wakulima kuuziwa mbolea juu hasitahili tena?
Safi sana mbunge Mpina leo waziri Bashe amefuata mawazo yakoMbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
Kanda ya ziwa ndiyo kuna watu wenye akili na uzalendo, kanda zingine ni uvivu na wizi ndiyo vimejaaMpina nimefuatilia kwa makini siasa zake sina uhakika na hoja hata moja ambayo anaitoa bila kuifanyia utafiti wa kina ndio maana Bashe ametumbukia kwenye aibu ya kukubali kurudisha mfumo wa ununuzi wa mbolea na bei elekezi ya mbolea uliofutwa Juni 2021 ili kuweka uholela wa biashara ya mbolea
ALICHOMA NYAVU ZETU - wewe muite pekee tuMpina ndie mbunge pekee ninaemuona kule bungeni kwa sasa anayejitambua aliyeacha kichwa chake kifanye kazi badala ya tumbo.
Mbona yeye hakunipeleka mahakamni nikashitakiwe kwa uvuvi haramu?Nenda mahakamani kashitaki mvuvi haramu wewe