Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Ndicho mnachokiweza hapo ufipa

Napigia kura Conservative
Ila wewe inawezekana hata ulcers unazo kutwa kutetea ujinga wako huo
Ajira gani hii ya ukuwadi
Mimi napiga kura nasepa hapa na maendeleo nayaona mpaka taka zinabebwa na barua zinaanguka mlangoni

Sasa wewe unaejifanya mwanachama mtiifu wakati mama yako analala njaa wala hajua anastaafu na nini
 
Kafue boxer za Dj na amsterdam huko
 
Kwani siasa ni uadui,

Kule ni kupambana Kwa hoja. Kule hapingwi bashe anapingwa waziri WA Kilimo, differentiate the two

I know that
Lakini sio kwa siasa zetu hata JK alisema hata maji usiache unattended
 
Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”

Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
Kwa kufanya yafuatayo;

-Serikali imeondoa kodi kwenye mafuta ya kula.
-Serikali imepandisha mishahara kwa watumishi wa Umma

-Serikali imepandisha posho za kujikimu kwa Watumishi wa Umma.

-Imepunguza kodi kwenye ngano.

-Serikali imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi unaozingatia bei halisi ya soko.

-Serikali Imetoa ruzuku ya bilioni 150 kwenye mbolea ya mazao ya aina zote

-Usahili wa kazi utakuwa kwa lugha ya Kiswahili

-Majengo yote makubwa na masoko makubwa yatakatiwa Bima.

-Punguzo la kodi la Zuio asilimia 5 kwenye Filamu.

-Ongezeko la mshahara Sekta binafsi

-Serikali imesamehe ushuru wa mazao kwenye mbegu.

-Mama amesamehe kodi kwenye Nyavu za kuvulia samaki.

-Wamachinga wametengewa bilioni 45 kujengewa miundombinu na kuwezeshwa.

-Serikali ya Mama imeondoa VAT kwenye mtindi (Yoghurt).
Mkuu hapo kwenye ongezeko la mshaharA sector Binafsi inamaana sisi waajiriwa WA Viwanda Vya wahindi mtatuongezea salary?
 
Ukiskia akili ni nywele ndio hizi Sasa, sekta binafsi unaongezewaje mshahara na serikali?
Na hapo huenda una degree
Nchi ya majuha hii
 
Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”

Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
Kwa kufanya yafuatayo;

-Serikali imeondoa kodi kwenye mafuta ya kula.
-Serikali imepandisha mishahara kwa watumishi wa Umma

-Serikali imepandisha posho za kujikimu kwa Watumishi wa Umma.

-Imepunguza kodi kwenye ngano.

-Serikali imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi unaozingatia bei halisi ya soko.

-Serikali Imetoa ruzuku ya bilioni 150 kwenye mbolea ya mazao ya aina zote

-Usahili wa kazi utakuwa kwa lugha ya Kiswahili

-Majengo yote makubwa na masoko makubwa yatakatiwa Bima.

-Punguzo la kodi la Zuio asilimia 5 kwenye Filamu.

-Ongezeko la mshahara Sekta binafsi

-Serikali imesamehe ushuru wa mazao kwenye mbegu.

-Mama amesamehe kodi kwenye Nyavu za kuvulia samaki.

-Wamachinga wametengewa bilioni 45 kujengewa miundombinu na kuwezeshwa.

-Serikali ya Mama imeondoa VAT kwenye mtindi (Yoghurt).
Asante mkuu kwa taarifa hii nzuri, mimi napenda kufahamu hayo maeneo yaliyoondolewa kodi au kupungiziwa kodi bei yake itashuka au itabaki hii iliyopo? Mfano ngano.
 
Fact:

Mjomba ni mama ambaye ni ROma-STAMina

Na mama ndie muingizaji mkubwa wa mbolea nchini, na ndie aliemsomesha Waziri wa kilimo

Ko mnataka Bashe afanye nini? Aache kurudisha fadhila

Mpina ana facts sanaaaaa
Hebu tuache uongo,bashe kazaliwa nzega,nkoani tabora,kasoma nzega hadi sekondari,chuo kikuu kasoma mzumbe,huyo mama mtu wa zanzibar,alimsomesha bashe wapi?
 
Mpina ana lake jambo, Bashe asipoteze muda tena kujibishana nae, ameungaunga mambo.

Huyu mpuuzi alitutesa sana enzi yupo Uvuvi, 2025 asipewe hata huo ubunge akili imkar sawa
 
Bei ya mbolea ni shs ngapi huko kwenu?

Ndiyo hoja yake
Waziri katoa takwimu za kimataifa juu ya bei za mbolea halafu Mpina anasema waziri kalidanganya bunge!!!
huyu jamaa kavurugika sana, anatakiwa avute pumzi

anajifanya yeye yuko sahihi zaidi, hata kama kweli waziri kakosea njia sahihi ni kumfuata na kuzungumza nae kiungwana, lkn anavyo fanya ni wazi hana nia njema zaidi ya kudhihaki kazi nzuri ya Waziri.
 
Hebu tuache uongo,bashe kazaliwa nzega,nkoani tabora,kasoma nzega hadi sekondari,chuo kikuu kasoma mzumbe,huyo mama mtu wa zanzibar,alimsomesha bashe wapi?

Kwani tunabishana...

Endelea hivo hivo

Wewe jua huyo jamaa ni muingizaji mkubwa sana wa mbolea nchi hii, hawataki "Bulk Procurment" kwa sababu wanakata biashara za Wajomba
 
Waziri katoa takwimu za kimataifa juu ya bei za mbolea halafu Mpina anasema waziri kalidanganya bunge!!!
huyu jamaa kavurugika sana, anatakiwa avute pumzi

anajifanya yeye yuko sahihi zaidi, hata kama kweli waziri kakosea njia sahihi ni kumfuata na kuzungumza nae kiungwana, lkn anavyo fanya ni wazi hana nia njema zaidi ya kudhihaki kazi nzuri ya Waziri.
Bashe ni mfanyabiashara kama wengine hana lolote
 
Back
Top Bottom