Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Bashe and Electrical Engineer January Makamba are experts of everything irrespective of their academic background.
Tunataka results na siyo maneno mengi matamu matamu
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
Bashe ni mtafuta sifa hakuna kitu pale
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

Je huko duniani ni wapi? Je Tanzania haipo duniani? Duhh, huu ni mchemko wa kiwango cha SGR!
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=
Mnaparurana wenyewe kwa wenyewe sasa
 
Kama chadema wanavyoparuana mahakamani
 
Huyu mwamba nilimkubali pale alipotokemeza uvuvi haramu kule ziwa Victoria, nilikuwepo kule na kwa kiasi fulani nilishuhudia ule msako, wavuvi huwa ni watu wajeuri kiasi, ila kiukweli cha moto walikiona nyavu haramu zilichomwa sana na nyingi zilitelekezwa.

Hapo ndio niliamini ile kauli ukicheka na kima utavuna mabua, baada ya ile operation samaki na dagaa waliongezeka sana mtaani na bei ilishuka sana. Sijui kwa sasa hali ikoje huko ziwani.
 
mpina sahiv kawashika pabaya tatizo bashe anausanii kama makamba akileta hoja zake unaweza fikiri ni za kweli kumbe za uongo
No ndugu bashe ni makini sana,akipewa fursa ya kumjibu mpina atajibiwa vizuri sana
 
Back
Top Bottom