Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Mbunge Mpina amvaa tena Waziri Bashe

Jamaa kapewa dili lakini anabweka nje ya ulingo

Gone are the days za lopolopo
Dhima kuu ya bajeti itakayoanza kutekelezwa kuanzia siku ya leo ni “Kuongeza Kasi ya Kufufua Uchumi na Kuimarisha Sekta za Uzalishaji kwa ajili ya Kuboresha Maisha.”

Kufanikisha dhima hiyo, Mhe. Rais Samia Suluhu anaweka mkazo katika kilimo, mifugo, uvuvi, nishati, uwekezaji na biashara.
Kwa kufanya yafuatayo;

-Serikali imeondoa kodi kwenye mafuta ya kula.
-Serikali imepandisha mishahara kwa watumishi wa Umma

-Serikali imepandisha posho za kujikimu kwa Watumishi wa Umma.

-Imepunguza kodi kwenye ngano.

-Serikali imeanzisha mfumo mpya wa manunuzi unaozingatia bei halisi ya soko.

-Serikali Imetoa ruzuku ya bilioni 150 kwenye mbolea ya mazao ya aina zote

-Usahili wa kazi utakuwa kwa lugha ya Kiswahili

-Majengo yote makubwa na masoko makubwa yatakatiwa Bima.

-Punguzo la kodi la Zuio asilimia 5 kwenye Filamu.

-Ongezeko la mshahara Sekta binafsi

-Serikali imesamehe ushuru wa mazao kwenye mbegu.

-Mama amesamehe kodi kwenye Nyavu za kuvulia samaki.

-Wamachinga wametengewa bilioni 45 kujengewa miundombinu na kuwezeshwa.

-Serikali ya Mama imeondoa VAT kwenye mtindi (Yoghurt).
 
Usanii tu
Miaka 60 bado hatujielewi
Ubunifu zero maendeleo tuko nyuma
Miaka yote tutakuwa kwenye list ya nchi masikini
Hao Ng’ombe waliofanana na wachungaji eti
Wanasiasa wanatuchezea wanavyotaka..
Nyekundu anakuambia nyeusi
Kesho nyeusi anakuambia nyekundu
Watu wanabakia kwakwakwakwa
Kama mazoba

Ova
 
Mbunge wa jimbo la Kisesa mkoani Simiyu ameendeleza tena moto wake wa kutoa hoja nzito nzito zenye masilahi mapana kwa taifa na safari hii akimbana kisawasawa waziri wa Kilimo mh Hussein Bashe kutokana na hoja zake za uongo zilizosababisha kuongezeka kwa bei ya mbolea huku akisingizia vita ya Ukraine wakati vita imeanza huku tayari mfuko wa mbolea unauzwa 130,000/=

Nadhani Mh. Bashe na Mh. Mpina wakae meza moja wazungumze.
 
Mbunge wa kukurupuka.
eti anaomba muongozo wa spika kwa jambo lilopita kinyume na kanuni ya ya 76, kama mbunge anashindwa kuisoma kanuni ya 76 na kuielewa kuna walakini hata kwa hoja yake.
tatizo anakurupuka.

wabunge wetu mnatuaibisha, muda wote huo mnashindwa kuzielewa kanuni zinazo ongoza shughuli za bunge, dah!!
 
Wanasiasa wanatuchezea wanavyotaka..
Nyekundu anakuambia nyeusi
Kesho nyeusi anakuambia nyekundu
Watu wanabakia kwakwakwakwa
Kama mazoba

Ova

Halafu kuna watu wanawatetea kwa nguvu zote
Yamekaa bungeni hata ubunifu hayana
 
Mbunge wa kukurupuka.
eti anaomba muongozo wa spika kwa jambo lilopita kinyume na kanuni ya ya 76, kama mbunge anashindwa kuisoma kanuni ya 76 na kuielewa kuna walakini hata kwa hoja yake.
tatizo anakurupuka.

wabunge wetu mnatuaibisha, muda wote huo mnashindwa kuzielewa kanuni zinazo ongoza shughuli za bunge, dah!!
Bei ya mbolea ni shs ngapi huko kwenu?

Ndiyo hoja yake
 
Watanzania tunajua theory sana.
Theory ni kwaajili ya kufanyia mitihani shuleni.
Huku mtaani na duniani ni vitendo na matokeo tu.
 
Back
Top Bottom