Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

Natabiri machafuko kutokea arusha wakati wowote kuanzia sasa. Tusubiri tuone maana watawala wetu hawachukui hatua mpaka waone mambo yameshaharibika.

Kazi tunayo maana hii ndiyo taswila ya viongozi wetu, sina hakika kama wanapimwa akili kabla ya kuteuliwa, ni vizuri kujua hata historia zao za utotoni.

Haya nabiii,tz bana vi2ko kibao!
 
tatizo si video naongea na evidence sio magazeti wala nini nyinyi wanajamii forum msibaki kutukana tu ila mtoe hoja za msingi ili tuwajibu kwa hoja me mwanaharakati wa kujitegemea sina chema wala nini nipo me kama me

Dhaifu kweli wewe! kila mtu anajificha kwenye mwamvuli wa mwanaharakati!!! ni harakati zipi umefanya kuwakomboa watanzania na umaskini uliokisiri kwenye nchi tajiri!
 
Update zinachelewa bandugu,...... waheshimiwa makamanda Crashwise, Mungi, Yegella, Ufunuo Tz na makamanda tupeni updates tafadhali.
 
Natabiri machafuko kutokea arusha wakati wowote kuanzia sasa. Tusubiri tuone maana watawala wetu hawachukui hatua mpaka waone mambo yameshaharibika.

Kazi tunayo maana hii ndiyo taswila ya viongozi wetu, sina hakika kama wanapimwa akili kabla ya kuteuliwa, ni vizuri kujua hata historia zao za utotoni.

sijawahi kuona machafuko yakitokea mhalifu akikamatwa
 
Ninachoshukuru Lema anazidi kukuza CV yake ya kulikomboa Taifa. Ni katika hali ambayo Serikali hailewi, kumkama Lema ni kumwongezea credibility.
Ishu yenyewe inajulikana wazi kabisa, nini chanzo, sasa kumkamata Lema unawaficha akina nani??
 
uchochezi wa lema unamafungamano na kauli za slaa kuwa nch isitawalike ,acha polis wafanye kazi yao.wakusanye na wengine



Kwa wasiokufahamu wataumiza sana vichwa. Tunaokujua, hata chembe huwez umiza vichwa vyetu.

Huwa unatupa wakati mgumu sana nduguzo wa kukubali kwa watu kama na wewe ni mzaliwa wa mbeya. Hauendani hata kidogo.

Nina wasiwasi sana na asili yako, watu wa mbeya hatupo km wewe.

Yaani kwa uwezo wa akili yako, sikushauri utumie kilevi cha aina yeyote, utachizika mazima. Nishawahi kukwambia storage capacity yako ya brain na memory yako vipo kwenye "megabytes" but unapenda kujifanya wa "gigabytes".

Kwisha habari yako mwalimu
 
Lema njia anyoitumia kupigania watu wake siyo sahihi huwezi kupigania watu kwa kufanya vurugu na mandamano vinginevyo atazidi kujimaliza kisiasa.
 
kamanda nanyaro ephata anakuja hapa sasa hv na updates. nimeongea nae kwa simu yupo central police station wanamsubiria mwanasheria wa CDM afike ndo mahojiano yaanze.
 
Atakaegombea ubunge wa arusha 2015 kupitia CCM atapata shida sana. hata apewe trillioni moja za kampeni hapati kitu.
Ndugu huo ni mtazamo wako wewe siyo mwakilishi wa watu wa arusha kwani arusha wanachagua mtu siyo chama.
 
kamanda nanyaro ephata anakuja hapa sasa hv na updates. nimeongea nae kwa simu yupo central police station wanamsubiria mwanasheria wa CDM afike ndo mahojiano yaanze.
Mkuu tunasubili hiyo update hiyo.
 
Kwa iyo muuaji wa mwanafunzi ndo keshapona ivo, baada ya kukamatwa lema? make polisi watakuwa na kazi ya kuzuia maandamano iwapo yatatokea na sio kuwatafuta vibaka.
 
Kinachofanyika ni kutafuta ushahidi wa rais kuwa ndiye muasisi wa udini kabla hajauwakilisha bungeni kama alivyotakiwa na Ndugai ndo maana hata mkuu wa mkoa ametoa povu sana
 
MADARAKA yapo juu kupita HAKI kwa namna hii...
sasa LEma anakosa gani au ndio visasi vya waziwazi ??, nchi hii viongoz wataelimika lini na kujari
haki na wajibu.
people's power.

Viongozi makada wa ccm, hata panapoonekana wazi hakuna hatia wao hutengeneza kesi.
 
Back
Top Bottom