Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
huu mfumo wa vyama vingi ndo unaoaribu na hi ndio mbinu ya ccm kuua vyama pinzani lazima tuungane
hata majambazi sugu mnayatetea tu, huyu jamaa atajuta
huu mfumo wa vyama vingi ndo unaoaribu na hi ndio mbinu ya ccm kuua vyama pinzani lazima tuungane
not for terror
we ujanipata nilichokuwa namaanisha nini na nadhani uwezi kunielewa mpaka utolewe kichwani sumu ya MWIGULU NA POLISI!! Nakushauri uende kwa dr.slaa akutoe sumu
Kifo cha ccm kimefika... Wajinga hawa
Filamu yenu ishachuja subirini aibu..... Sisi tuna Mungu... Nyie mnamashetani
atakua bado hajafuta contact zake kwenye simu pamoja na kumbukumbu za mawasiliano,hivyo vitu lazima vichunguzwe na makachero.Hahhahha labda kaishaifuta kwenye latop yake
una akili ya maiti kuishabia ccm..UNATUMIKA MBAYA MNO
What a stupid government ever in Tanzania. Utawala wa sheria uko wapi?
Hivi hawa watawala wanataka kila wanachosema mtu akubaliane nacho hata kama ni upuuzi??? Watanzania tunapaswa kubadilika na sio lazima kukubaliana na kila kinachotoka mdomoni mwa watawala. Tunapaswa kujiuliza je ni sahihi anachotamka mtawala?
Lazima tufike level ya maturity kifikra..unless tutakuwa kama kondoo anayepelekwa kuchinjwa kila siku badala ya kuwa simba pale tunapoona hatari.
hata majambazi sugu mnayatetea tu, huyu jamaa atajuta
nchi inapoelekea siyo kabisa. polisi wanatumika kuonea wapigania haki na wale wote wanofungua vinywa kuibua maovu ya serikali ya ccm.
slaa alisha hasi dini long time
we ni gamba ndio,LEMA ni kijana wetu na hapa arusha mjini tumeapa kumpa hata ubunge miaka 30 kama atataka..hatutaki wabunge wa ndio mzee kama huyo wako wa KONDOA KUSINI NA MTERA
Ona sasa mpaka unashindwa kuandika.. AKILI SA HIVI HUNA KABISA... AU KUNA MTU ANAKUSHIKA MAHALI NDO MAANA UNATETEMEKA KUANDIKA
ex polisi huna updates!Tunaomba updates na pia kama unajua sababu zozote za Llema kukamatwa