ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
Ebana huyu Lema mbna kila siku ye majanga tu,..hafai kuwa mbunge.
Hafai...
Ebana huyu Lema mbna kila siku ye majanga tu,..hafai kuwa mbunge.
Akili za bavicha hizi...
nilichojifunza kwako wewe, sumu na wengineo huwa mnasema sana kuwa wanachadema huwa wanawatukana na hawawàjibu kwa hoja. Kumbe nanyi ni walewale. By the way mi si mwana BAVICHA ila ni MTANZANIA mwenye mapenzi na masikini wenzangu ambao tumeteswa na watu tuliowapa dhamana wakashindwa kutuongoza. Kama CCM itaendelea kutumia mbinu hizi chafu na kushauiriwa na watu kama wewe basi 2015 sahau ikulu.
Yaani hujui kwa nini Lema amekamatwa?Tunaomba updates na pia kama unajua sababu zozote za Llema kukamatwa
mkuu hivi ulishajibiwa hoja na mwana-CDM yeote humu Jf zaidi ya kutukanwa?Kama unataka kujibiwa kwa hoja acha viroja.
Haya twende kwenye hoja: Je, unaunga mkono watu kujazana kituo cha polisi baada ya Lema kukamatwa?
nakumbuka siku moja MBOWE akiwa mikoa ya Iringa na MBeya aliwaasa wana-CDM sasa kuachana na siasa za vurugu na kwamba wajiandae kuchukua nchi, mbona ni kama ndo vurugu zimezidi, wamekata tamaa ya kuchukua nchi?Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi onevu wa Polisi wakati huu wa usiku; Mh. Lema amekubali kukamatwa na amechukuliwa na gari la polisi wakati huu na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi.
Wananchi wengi wamejitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi wakawa wengi zaidi.
Scene two ni hali itakavyokuwa huko polisi.
Updates
Sasa wamefika CLocktower anasindikizwa na msululu wa magari ya makada waliojitokeza ku-support kuelekea kituo cha polisi.
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha amesachiwa na kuingizwa ndani. Kamanda Lema alikuwa ameambatana na magari ya makamanda waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.
Hivi sasa polisi wamewafukuza makamanda wote hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo. Makamanda wameondoka kwa amani na kwenda kupaki Safari hoteli wakisubiriana kupata mwongozo.
03:41am
Wamekutana pembeni ya kituo cha polisi na wamekubaliana kuwa watawanyike wakalale hadi kesho asubuhi watajuzwa kinachoendelea. Hivyo, Lema yupo ndani na wananchi waliomsindikiza wametawanyika kwenda kulala. Tutaonana asubuhi kwa yale yatakayojiri.
Earlier by Emanzi:
Kwa hiyo Lema atakuwa mahabusu hadi jumatatu... This is very irritating. Hivi Arusha ina polisi wangapi na wafuasi wa Lema wangapi...
Na.inasikitisha sana tuna wanasiasa magaidi na wahuni
nakumbuka siku moja MBOWE akiwa mikoa ya Iringa na MBeya aliwaasa wana-CDM sasa kuachana na siasa za vurugu na kwamba wajiandae kuchukua nchi, mbona ni kama ndo vurugu zimezidi, wamekata tamaa ya kuchukua nchi?
Kiukweli watanzania hatuangalii viongozi makini tatizo tunafuata mkumbo haya sasa mmechagua magaidi na majambazi yaliyokubuhi
Kama unataka kujibiwa kwa hoja acha viroja.
Haya twende kwenye hoja: Je, unaunga mkono watu kujazana kituo cha polisi baada ya Lema kukamatwa?
Jambo kubwa na la msingi hapa ni jinsi polisi wanavyotumiwa kunyanyasa upinzani na kushindwa kulinda raia na mali zao ila wakigusiwa juu ya wapinzani basi watatoka na silaha nzito kwelikweli pasi kufahamu kuwa hao wanasiasa wanafanya kwa matashi yao .Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi onevu wa Polisi wakati huu wa usiku; Mh. Lema amekubali kukamatwa na amechukuliwa na gari la polisi wakati huu na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central Polisi.
Wananchi wengi wamejitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi wakawa wengi zaidi.
Scene two ni hali itakavyokuwa huko polisi.
Updates
Sasa wamefika CLocktower anasindikizwa na msululu wa magari ya makada waliojitokeza ku-support kuelekea kituo cha polisi.
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha amesachiwa na kuingizwa ndani. Kamanda Lema alikuwa ameambatana na magari ya makamanda waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.
Hivi sasa polisi wamewafukuza makamanda wote hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo. Makamanda wameondoka kwa amani na kwenda kupaki Safari hoteli wakisubiriana kupata mwongozo.
03:41am
Wamekutana pembeni ya kituo cha polisi na wamekubaliana kuwa watawanyike wakalale hadi kesho asubuhi watajuzwa kinachoendelea. Hivyo, Lema yupo ndani na wananchi waliomsindikiza wametawanyika kwenda kulala. Tutaonana asubuhi kwa yale yatakayojiri.
Earlier by Emanzi:
Acha kuropoka bila kuwa
na habari kamili...naomba utafute video recording ya tukio zima la IAA
ndo u comment...kiongozi gani ni hasara lema ama yule wa kupachikwa pale
arusha