Mbunge Kigwangalla apata ajali mbaya (2012)

Status
Not open for further replies.
pole sana daktari kigwangalla ,maoni yangu ni kuwa aliyekuanza mmalize.

Kuna afisa uhamiaji alikoswakoswa kuuawa na polisi juzi huko mwanza...

Pole sana mwana JF mwenzetu.
 
Ajali haina kinga. Pole Dr.Huenda dereva wako ana uzembe.
Mkuu hawa jamaa wana canibalism ya ajabu. Kama wengine wanakiabhatua ya kuwakatia wenzao mawasiliano ya simu, ujue hali ya hewa ilishachafuka kitambo. Anyway....naamini ni ajali ya kawaida na tumwombee majeruhi apone haraka. I wish katika kipindi hiki angetembelewa na holly spirit ili aongoke!
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

sidhan kama kuna mtu anamtafuta,labda malaika mtoa roho
 
pole sana daktari kigwangalla ,maoni yangu ni kuwa aliyekuanza mmalize.

Kuna afisa uhamiaji alikoswakoswa kuuawa na polisi juzi huko mwanza...

Pole sana mwana JF mwenzetu.

hahahaaaaa,,,,nani wa kummaliza KMUHAAAAAAA.......
 
Pole sana Mh Kigwa...

Next time ukivuta hela ya bungeni kununulia gari we tumia yote kununua gari nzuri na mpya. Haya mambo ya kununua magari used wakati bunge limetoa hela ya gari mpya yenye hadhi ya mbunge ni ufisadi pia. Unavuta milioni 100 za gari, unanunua gari ya milioni 20 halafu zingine unatumia kama mtaji wa biashara, huu ni usanii wa kitanzania. Kama wadhibiti rushwa na ufisadi wangekuwa makini wabunge wengi wangerudisha hela zetu walizotumia kwa malengo tofauti. Tyre kuchomoka ni dalili ya gari bovu wala usimtafute mchawi.
 
Pole Dr. kigwangalah Mungu akuponye sisi ni wapitaji tu hapa dunia kila uamkapo, ulalapo, unapokuwa safarini ukifika salama Mshukru Mungu kila saa kila wakati
 
Nimepata taarifa za kusikitisha kwamba Mbunge wa Nzega amepata ajali mbaya baada ya gari aliyokuwa akisafiria kuchomoka tairi. Ajali hii imetokea akiwa njiani kuelekea kwenye mkutano mkuu wa CCM Mkoa. Taarifa hizi zimetangazwa mkutanoni na Katibu wa CCM mkoa huo bwana Ame.

Hii ni ajali ya tatu kumpata ndani ya wiki moja, watu wanajiuliza hivi anatafutwa ama ni bahati mbaya tu?

Yaan baada tu yakutangaza atagombea urais?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom