Yes nisahihi huyo ross akatwe kodi kwenye pato lake la leo. Sio aje achume na kuondoka wakati walim mshahara 469000 kwa mwezi nakatwa kodi. yeye kwa cku ni zaidi ya milion 100 halafu akatwi kodi. So tra ikate kodi hapo. Kama tz ina mkataba na usa kuhusu double taxation, sisi tukate huku atasamehewa kwao huko.
Sugu kichwa chake kinawaza disko tu...
Sugu achana na Ross, vinega wapo wapi? Tunataka show bana.......anti-virus imekuwa outdated
Hili jamaa bana sijui likoje..yaaani yeye kila siku makelele tu na clouds..
ajasema ajue,amesema tujue..tukishajua mjadala ndio utakuwa mtamu zaidi.
Yan taifa lina poteza pesa mwenzio katoa ushauri wewe unaona ana roho ya kwa nini! Ange nyamaza ungeongea!
Kama hujui basi ni kwamba ana jaribu kuwaonesha wasanii jinsi inavyo takiwa!
Niambie rick ross ataleta mchango gani wa haraka kwa taifa?
Usije ukasema ata piga collabo na Ay ndio mchango, sisi tunataka rick ross akatwe ili wasanii wengine nao wakiwa wanakatwa kama kodi wasi shangae!
Yote hayo ni kuifanya nchi yetu ithaminike sio kufanywa shamba la bibi alaf wasanii wetu wana lipwa pesa kiduchu sisi tunachekelea kumuona rick ross wakati hata kodi akatwi:
think twice njiwa si kila kitu ni kupinga tu:
ww kweli njiwa your comments content resembles with ur username
Au siyo mkuu? Maharage kwa mahindi wapi kwa wapi? Sugu atuonyeshe alipolipa "kodi kwa taifa letu" kutokana na show zake za Bongo, achilia mbali zile anazodai kufanya Marekani.
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. Wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . Na rick ross. Tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. Na ana bima . Mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
Mkuu sikubaliani na wewe kabisa. Kuhusu Ubalozi wa Marekani ni kwa Raia yeyote wa nchi hiyo, tumeshuhudia Ubalozi ukiwatetea raia zake ambao sio superstar. Tanzania haijali raia zake, mabomu yanalipuka Gongolamboto, Rais anapaa kwenda Mauritania. huu ni moja ya mifano ya serikali yetu inavyotudharau. Nenda Airport uone jinsi tunavyonyanyaswa lakini wageni wapo VIP.mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
Hivi unatumia makalio au kichwa kufikiri? Yanga na simba wameingiza 390m juzi wamekatwa kodi 56m kwa nn hiyu jamaa aliye daka zaidi ya m.200 asikatwe kodi?Sugu achana na Ross, vinega wapo wapi? Tunataka show bana.......anti-virus imekuwa outdated
Section | Type of payment | From | To | Rate | Final / non-final |
81 | Employment | Resident employer | Resident employee | Regulations | Non-finalhttps://www.jamiiforums.com/#_edn1 |
Kweli wabunge wengine bwana, eti Sugu khaaaaa! Hivi wanambeya hamkuona watu wooooooote mkaamua Sugu awe mbunge wenu! Wanamwita suguuuu, nani, wanamwita Suguuuuu, waaanamwita Suguu sugu sugu sugu.
Kwetu msumbiji watu wenye mawazo kama yako ni waokota makopoKweli wabunge wengine bwana, eti Sugu khaaaaa! Hivi wanambeya hamkuona watu wooooooote mkaamua Sugu awe mbunge wenu! Wanamwita suguuuu, nani, wanamwita Suguuuuu, waaanamwita Suguu sugu sugu sugu.