Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

Dont be too low. You are focusing on SUGU rather than issue raised by SUGU. What a shame? TRA should pick up this matter very serious. I also suggest organizers to take this matter seriously as well as a way forward otherwise it will affect them in future. We don't bless by curse!
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .

Ubongo matege huu! (Assumption) how? Sugu anazungumzia kodi wewe kilauds!!!! huku ni kupindi ubongo ki kweli kweli! kama wewe ni mkilauds umeguswa huko nyuma imekuuma basi usikwepe hoja! Any way your days are numbered! Mtajuta siku hiyo ikifika....!
 
Sugu ameshaona karata ya siasa itamtupa mkono soon,na kwenye muziki alishapotea anaanza wivu wa kike.

Serikali Corrupt haikusanyi kodi, ccm ni na serikali yake ni corrupt hawawezi kuona umuhimu wa hoja ya Sugu. Wewe nawe ni mmoja wao.
 
ameongea point ya maana sana aisee...mtu anakuja kubeba milioni mia kadhaa ndani ya usiku mmoja kisha atuachii ata shilingi kumi!!?
Tatizo hii biashara ya burudani watu wanaichukulia ivo ivo kiburudani burudani.
Wasanii wetu nao wanachofulaia kwenda kumshuudia RickRoss kwa karibu,yani ata wapewe laki poa tu..ili mradi watapiga picha na rickross,mwenzao akimaliza show anakunja mamilioni yake anasepa wao wanarudi mtaani kuilalamikia serikali haiwajali..ngoja ninyamaze zangu wasije sema vinega hao wameanza mambo yao.

Nadhani kuna tatizo la kukurupuka na kutafuta cha kusema hovyo hovyo na wakati mwingine kutuleteleza picha ya sintofahamu ya bila sababu na mbaya zaidi hata watu muhimu kwenye jukwa hili kujikuta wamejituma kusaport. kumbuka sugu ni mbunge atwambie je amepitia sheria yetu ya kodi ? na kama amepitia je inatoa exemption kwa mapato hayo? na kama haitoi exemption mh mbunge alilenga kuiambia nini jamii? Na ushauri wake nini? kwamba yanayofanyika ulaya tukopi yotena kupest yote? je tupo sawa nao? leo anaona hili je tuanze kuulizana hiyo ndiyo tofauti yamsingi na muhimu sana?
 
Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi? hatuonani siku hizi umejichimbia wapi?
Back to the topic, nilitarajia maelezo ya kina tofauti na comment yako kwakuwa hili eneo la fedha ndio maeneo yako ya kujidai mbona umekuwa mnyimi hivyo?

Mkuu Mwita Maranya nimekuwa nipo kama sipo siku hizi lakini bado nachungulia JF kama kawaida. Mimi si mnyimi mkuu. Eneo langu ni mambo ya kijeshi zaidi kuliko fedha!

Kwenye suala la kodi ni kweli nimemkubali Sugu. Unajua sisi watanzania tuna kama uoga fulani hivi, tunabanana wenyewe kwa wenyewe lakini wagenii hatuwabani sijui tunawaogopa? Katika hili TRA inabidi watoe tamko ama Sugu awabane bungeni.
 
Last edited by a moderator:
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .

Something is wrong in your brain...Sugu katoa changamoto kwa Mamlaka ya Kodi Tanzania kwamba imtoze kodi huyo jibwana rose... Kama hakulipa waliomleta wamlipie it is withholding tax...Suala la Kejeli eti Sugu anafanya maonyesho yake pub ni kukwepa hoja....Alipe kodi. Na katika hili ni Clouds Entertainment
 
Ndugu zangu..TRA amkeni sasa acha kujikongoja.. Kodi hizo mnazo zinawapita,,,mamilion mangapi yanatakiwa yalipwe..jamani. Mtumishi wa kawaida anayelipwa laki nne tuseme panga la PAYE linakata palepale.. Huyo bwana ambaye watu wengine wanamuona wa mwanamziki mkubwa just for few hours anaondoka juu kwa juu na nyie watoza ushuru mpo mpo tu wapi na wapi ,, AMKENI MKUSANYE KILICHO CHETU
 
Nadhani kuna tatizo la kukurupuka na kutafuta cha kusema hovyo hovyo na wakati mwingine kutuleteleza picha ya sintofahamu ya bila sababu na mbaya zaidi hata watu muhimu kwenye jukwa hili kujikuta wamejituma kusaport. kumbuka sugu ni mbunge atwambie je amepitia sheria yetu ya kodi ? na kama amepitia je inatoa exemption kwa mapato hayo? na kama haitoi exemption mh mbunge alilenga kuiambia nini jamii? Na ushauri wake nini? kwamba yanayofanyika ulaya tukopi yotena kupest yote? je tupo sawa nao? leo anaona hili je tuanze kuulizana hiyo ndiyo tofauti yamsingi na muhimu sana?

kama SUGU yupo wrong we ulikuwa unaonaje??wanamuziki wa nje wakija hawastahili kukatwa kodi??
 
hhahahaha eti mbeya nao wanajigamba kua wana mbunge..!!
viongozi wa chadema ni imara sana kwa kweli
na ukimuona kijana anaweka matumain ya maisha yake kwa wanasiasa ujue yuko confused na ugumu wa maisha had ameamua kuyaacha maisha na kufanya kitu kingne,
sipati picha mh raiz kabwela mzito mzito 2015 atakuja na falsafa gan...!!!:eyebrows::eyebrows:
 
Kwa nini uzalendo usianzie na kuwatoza kodi wasanii wa ndani badala ya kumng'ang'ania mnyamwezi ambaye anakuja dar mara moja kwa mwaka?
kuna nchi moja jirani hapa inasifika sana kwa rushwa lakini rushwa yao ina misingi ya kizalendo zaidi. Wanasema hata kama pesa ikiliwa basi iliwe na mzalendo mwenzao na sio kama tz ambapo mtu anakuja na briefcase na baada ya miaka mitano anaondoka akiwa 'a world class billionaire'. Wanasema hata makaburu inawawia vigumu kuwekeza pale kwa maana jamaa wanakomaa kuwa uwekezaji hata kama unahusisha 'kitu kidogo' ni lazima unufaishe wazalendo.
Kwa hoja yako hii jaribu kulinganisha na hii hali then ujue kuwa a local artist hata 'akikwepa' kodi still atajenga hapa hapa na hizo pesa tutazishsre maana zitakuwa katika mzunguko wa uchumi wetu. Lakini US $200,000 (tena bora ungelikuwa umenunulia kitu kinachoonekana na si starehe) ikitoka nje imetoka hiyo mkuu hutakaa uione tena!

Una hakika huyo aliyenunua hiyo starehe kwa niaba ya waTz (clouds) hajalipia kodi mapato yake. Kama kamlipa The Boss $200,000 ina maana yeye kapata zaidi. Vat ni zaidi ya withhold tax, inakuwaje hapo? Akibanwa wa ndani naye si atambana wa nje?
 
hiyo $200,000 sina uhakika nayo na niliandika tu kufuatana na mabandiko mengine yaliyokuwepo hapa jamvini ila nadhani wangelikuja hapa waliomlipa na kusema walimpa kiasi gani ingeondoa huo utata.
Kwa maelezo yako ndipo hoja ya Mbilinyi inachotaka kujua kama kweli zimelipwa au la. Suala la usiri katika ulipaji kodi halina maana na wakiweka haya mambo hadharani basi itaondoa huo utata badala ya kusema "hayakuhusu".
 
kwenye ukurasa wake wa facebook kaandika hivi ricky ross anakuja,sawa haina shida...ila tunataka kujua amelipwa kiasi gani na atakatwa kiasi gani kibaki kwenye kodi ya taifa letu kama ambavyo mimi nikienda kufanya show/concert marekani nakatwa kodi na serikali yao...
ndo maana kusaga katajirika haraka haraka....nchi ya maziwa na asali......
 
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .
no hapakama unaakili hupaswi kukimbilia kuwaza kama hii ni chuki.
hay ni mawazo mazuri toka kwa sugu. sina uhkika ila em fikiri ross atakua alikula kama milioni mia ngap??
how come asilipe kodi kama wewe kipato unachoingiza kwa shughuli unazofanya unakatwa kodi??
hii ni changamoto kwa serikali hii ya ki*****
 
hamna wivu hapa,ishu ni kodi inapaswa alipe kodi sababu anafanya biashara tena ya pesa ndefu...nyie nendeni kufurahia kumuona rikross,hamjakatazwa lakini anatakiwa atuachie chetu...
Asipoongea Mr 2 ataongea nani???otherwise utuambie anaongea mambo yasiyo na msingi kwa taifa.

Mkuu matumbo

Nimeipenda hii avatar yako,hakika inafanana sana na sura ya Adam Mchomvu wa clouds media group,

kwa wale wanaomfahamu Adam najua wataniunga mkono hapa.....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu matumbo

Nimeipenda hii avatar yako,hakika inafanana sana na sura ya Adam Mchomvu wa clouds media group,

kwa wale wanaomfahamu Adam najua wataniunga mkono hapa.....

Adam tumempokea wenyewe hapa mjini na begi lake la 'montana'..
 
Back
Top Bottom