Kaka wewe ndio msemaji wa sugu? Naona upo busy kuweka mambo sawa, hahahaSugu ni waziri kivuli wa michezo na burudani..ulitakaje mkuu???wewe ulishaskia Magufuli anazunguzia elimu??yeye ni mabarabara tu kila siku!!umeona eeh!!....yani jinsi ulivyo kitunguu wewe unamjadili Sugu badala ya kujadili alichokisema Sugu.
hattakatwa.. Kwani mkuu wetu wa nchi kaenda kupanda farasi wao bure
Kwani ni msanii gani wa ndani alishawahi kulipa kodi baada ya show hapa bongo? Zile show za Vinega, hasa ile ya Ustawi wa Jamii zilipatikana sh ngapi! na kiasi gani kililipwa kama kodi?
Hatuna huu utaratibu wa kodi ki-Bongo Bongo, by the way Facebook sio mahali pa kutolea tamko, sio tamko rasmi.
mr 2 anataka kujifananisha na rick ross. wakati anafahamu kabisa tofauti iliyopo kati ya concert zake yeye za kwenye vi pub marekani na hela yenyewe inaishia mfukuno na kwenda kununua used car . na rick ross. tena mwenzake serikali inamtambua na inamlinda akija hapa hadi ubalozi wake unapata taarifa. na ana bima . mr 2 acha wivu na chuki kwa clouds waliomleta .

Kodi ni kodi tu hata kama mtu anafanya show kwenye disco vumbi kodi inapaswa kulipwa.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Kwenye ukurasa wake wa Facebook kaandika hivi RICKY ROSS ANAKUJA,SAWA HAINA SHIDA...ILA TUNATAKA KUJUA AMELIPWA KIASI GANI NA ATAKATWA KIASI GANI KIBAKI KWENYE KODI YA TAIFA LETU KAMA AMBAVYO MIMI NIKIENDA KUFANYA SHOW/CONCERT MAREKANI NAKATWA KODI NA SERIKALI YAO...
ameongea point ya maana sana aisee...mtu anakuja kubeba milioni mia kadhaa ndani ya usiku mmoja kisha atuachii ata shilingi kumi!!?
Tatizo hii biashara ya burudani watu wanaichukulia ivo ivo kiburudani burudani.
Wasanii wetu nao wanachofulaia kwenda kumshuudia RickRoss kwa karibu,yani ata wapewe laki poa tu..ili mradi watapiga picha na rickross,mwenzao akimaliza show anakunja mamilioni yake anasepa wao wanarudi mtaani kuilalamikia serikali haiwajali..ngoja ninyamaze zangu wasije sema vinega hao wameanza mambo yao.
Kaka wewe ndio msemaji wa sugu? Naona upo busy kuweka mambo sawa, hahaha