Mbunge Jerry Silaa agoma kusindikizwa na Polisi akielekea kuhojiwa na Kamati ya Maadili, adai kanuni

Meya wa Ilala ni kama Spika wa bunge tu kutokana na " unyeti" wa Jiji la Dar es salaam (sasa) hivyo anajua mambo mengi ya kiuongozi, kikanuni na kisheria.

Hivyo basi Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Kibajaji wa Mtera.

Kongole kwake meya mstaafu Jerry Slaa!
Come again bro... i didn't get your point!!
 
Majamaa hayaaminiani...

Tundu Lissu aliwaambiaga hawakumwelewa .... "Wakishatumaliza wapinzani, watakosa wa kuwaonea, watarudi kwenu"

Sasa mtu anahamasisha ulipaji wa kodi kwa wabunge tayari wanataka wamgeuze mhujumu uchumi
Laana inawatafuna hawa,acha wamalizane wao kwa wao
 
Mh Jerry kaja na lundo la mavitabu makubwa yaliyo sababisha mwenyekiti wa kamati na wajumbe wake kupigwa butwaa kwa sekunde kadhaa. Sitashangaa haya mahojiano yakichukua wiki kwa muonekano wa maandalizi ya utetezi wa shaidi. Ndio ukute mwenyekiti alihepa umande, hapo sasa!
 
Back
Top Bottom