Mbunge Jerry Silaa agoma kusindikizwa na Polisi akielekea kuhojiwa na Kamati ya Maadili, adai kanuni

Jamaa si angeomba wafanye mahojiano library tu...

😂😂😂
 
Yani wanamhoji kwa kuwataka wabunge nao walipe kodi???

Unaweza kukuta haya majamaa yamejiwekea kinga za kutokatwa matozo yao
Chama kimetoka kwenye mikono ya washamba sasa kimerudi kwa wenye nacho.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Chama kimetoka kwenye mikono ya washamba sasa kimerudi kwa wenye nacho.

Au nasema uongo ndugu yangu?
Uko sahihi kabisa.

Mama anaupiga mwingi sana...

Na JK yuko Zambia na mama....

Wenye wivu wameze viwembe
 
hayo makabrasha aliyobeba moja kwa moja inaonesha hana confidence tumefanya sana huu uhuni kwenye midahalo udsm ukibeba hivyo unawachanganya mambugila wanajua uko nondo kumbe umebeba notes za history
Kamati imejaa akina Kibajaji watamhoji nini?
 
Meya wa Ilala ni kama Spika wa bunge tu kutokana na " unyeti" wa Jiji la Dar es salaam (sasa) hivyo anajua mambo mengi ya kiuongozi, kikanuni na kisheria.

Hivyo basi Jerry Slaa ni tofauti kabisa na Kibajaji wa Mtera.

Kongole kwake meya mstaafu Jerry Slaa!
 
Babu hujalala tu?
 
Back
Top Bottom