Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

Poleni wafiwa, mtoto wake wa kiume nadhani kaowa kwa lowasa? au vinginevyooooo...

Kumbe ndo walewale. Haya jama. Thijui JK atakuwa na madaraja ya kufungua huko
 
Rest in Peace Sumari!
Bora upumzike, maana afya imekutesa kwa muda mrefu!../Lipi bora uishi mgonjwa kwa miaka au ukapumzike na taabu za dunia!

Euthanasia Law in Tanzania ipo vipi?,,RIP Sumari
 
another sad news..r.i.p sumari
watu wataanza kulinganisha mwitikio wa mazishi ya huyu na regia humu jamvini....r.i.p again
 
Hii habari imethibitishwa!!poleni watoto wake kisali ,sioyi na joan!REST N PEACE SIR
 
Naona harufu ya vurugu kujongea Arusha, Joshua kazi imewadia tena. RIP Sumari.
 
Mungu awape faraja wafiwa wote. Ni majonzi sana kuondokewa na kiongozi hata kama alikuwa fisadi or whatever. Mungu hafurahii kifo cha mtu mwenye dhambi..!
 
Mkuu kuna mtoa taarifa humu amesema source ni MOI! Unajua tena JF ipo kila mahali hata hapo ulipo ipo(yaani wewe!).anyway Invisible huwa halali ata confirm soon!

Amefia MOI hospital
 
yule alomjibu Dr.Slaa ovyo ovyo bungeni anaitwa nani?
mwenye picha ya sumari atuwekee tumkumbuke zaidi.
 
Serikali ya jk ni janga la kitaifa, majanga mikosi tele!
 


RIP our fellow accountant
 

kulikua na threads kama tatu za kuhusu yeye, wewe tatizo ulilowea lile jukwaa pendwa
 
masikin weeee.
r.i.p sumari.
yan tangu ashinde huo ubunge hakuwah kuwa mzima duuh.
polen wana familia ya sumari.
 
RIP Jeremiah Sumari




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…