Mbunge Jeremiah Sumari afariki dunia

poleni wafiwa

naona ikifika mwezi wa 4 wataondoka wanasiasa wengi sana
 
Rest in Peace Sumari!
Bora upumzike, maana afya imekutesa kwa muda mrefu!../Lipi bora uishi mgonjwa kwa miaka au ukapumzike na taabu za dunia!
 
Hivi sheria ikoje mbunge akifa kabla ya kuapishwa? Kunakuwa na by-election au vipi?
Mbunge akishachaguliwa ni mbunge hata bila ya kuapishwa....isipokuwa hataweza kushiriki shughuli za bunge mpaka awe ameapishwa (isipokuwa kuchagua spika). Hata hivyo naona katiba kidogo haipo wazi sana kwenye suala hili la kuapa/kutokuapa....inawezekana limefafanuliwa mahala pengine (sheria/kanuni etc).
 
chadema jimbo lenu hilo'wote walioiba kura zetu hawatanusa 2015 akiwemo jk
 
Mbunge Jeremiah Sumari amefariki dunia. source: itv
 
Itv wametangaza as breaking news!thus he is no more!
 
Jeremiah Sumari, Upumzike kwa Amani!
 
Apumzike kwa Amani, bwana alitoa bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe
 
Kodi zetu jamani. Tuendelee kuigharamia SIASA tu. Angalau tungekuwa tunapima AFYA zetu kabla ya kugombea.
 

R.I.P. Mzee Sumari
Tunatarajia upendo ulioonyeshwa na wana ccm kwenye mazishi ya dada Regia tutauona kwa wanachedema pia kwenye msiba huu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…