Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
spika makinda aungana na familia ya marehemu naibu waziri sumari
on Friday, January 20, 2012
Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru na Naibu Waziri wa Fedha, marehemu Jeremia Sumari, wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Tang Bovu jijini Dar es Salaam leo Januari 19, 2012, kwa ajili ya kutoa pole kufuatia kifo cha mbunge huyo kilichotokea usiku wa kuamkia jana Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa Picha na Owen David
Umasikini na uelewa mdogo wa wapiga kura wetu. Hawajui tu kwamba MBUNGE ni DIWANI wa KATA nyingi.Huo ni ugonjwa unaowatafuna wabunge wengi. Cha ajabu ni kwamba wapiga kura nao wameridhia, vinginevyo wangeshawafurusha siku nyingi.
Mwili hata haujapumzishwa mahala pake, tayari watu wanawaza uchaguzi. kuna papara gani ktk hili, wakati ukifika mtachonga sana humu mpaka vidole viote sugu. kwa sasa no no no, si busara hata kidogo. let him rest in peace wakuu. dhambi yake kubwa ni kujikuta yuko CCM hata tusimtendee haki? No no noooo
RIP mbunge wangu J.S Sumari.
Nilikuja kasi kujua ni mwingine zaidi ya Sumari! Repetition
Kuna watu ni mizigo ndani ya JFWatu wanapenda kukurupuka na kuleta thread mpya kuchanganya tu wenzao! Ina maana hukujua tangu jana thread za kuhusu kufariki kwa Mh. Sumari zilishawekwa humu? Usumbufu tu!
Huyu ni yule yule, sio mwingine.
unamaana Regia alikuwa gamba?Aisee! Umenishtua sana! nilidhani mwingine!
FF alishatabiri magamba wengi watadondoka mwaka huu!
Watu wanapenda kukurupuka na kuleta thread mpya kuchanganya tu wenzao! Ina maana hukujua tangu jana thread za kuhusu kufariki kwa Mh. Sumari zilishawekwa humu? Usumbufu tu!
kafariki lini! R.i.p sumary ! Ataziktwa wap na lini? Msiba upo wap?