Mungu amlaze pema peponi Mh.Sumari.Wakuu,
Ni wazi sasa baada ya kumpumzisha mwenzetu-(R.I.P) jimbo litakuwa wazi.
Ninaomba niwaambie wazi wenzetu wa CDM kwamba wananchi wana imani kubwa na aliyekuwa mgombea wenu Joshua Nassary.Msije mkajidanganya mkamteua mtu mwingine.Ni wazi kwa nguvu ya CDM sasa wenye pesa watajipenyeza kugombea ili waukwae ubunge.Nawaambia wazi kamati kuu ya CDM mkimchakachua Joshua Nassary tutakuja huko makao makuu na mabango na tutawafungia ndani ya ofisi kwa kufuli.
a.Dr Slaa najua uko huku jamvini.Hakikisha wajanja hawatapenyeza pesa kwa ajili ya kumtosa kijana wetu Nassary.Tuna imani kubwa na huyu kijana.Kamati kuu hakikisheni mnamtendea haki huyu kijana.Huyu kijana ni machachari mfano wa Lema,Mnyika,Zitto nk.
Hayo ni mawazo yangu kwenu kamati kuu.Tupeni chaguo tunalolitak
Huyu Sumari kama nae alichakachua, basi mtu aliemchakachua mzizi wake kiboko.....yaani mtu hata kuapishwa ilishindikana!!
Jamani mgombea waq CHADEMA awe yuleyule.....wakimchakachua tena...anakaba koo mtu!
RIP Sumari
Hapana mkuu......Nancy na Nakaaya si watoto wa marehemu Jerry Solomon Sumari hawa ni watoto wa Abraham Sumari.....i.e Nancy Abraham Sumari na Nakaaya Abraham Sumari.....Baba yao mzazi, ndio ushangae watoto ni maarufu kuliko Baba yao licha ya kwamba ni Mbunge!
Nakumbuka huyu RIP ndiye aliyejibu fyongo kuhusu swali la Meremeta aliloulizwa na Zitto Bungeni, kumbe sasa naweza msamehe kwani huenda ndio ugonjwa ulikuwa unaanza
RIP Sumari wa CCM
Wakuu, Ni wazi sasa baada ya kumpumzisha mwenzetu-(R.I.P) jimbo litakuwa wazi.
Ninaomba niwaambie wazi wenzetu wa CDM kwamba wananchi wana imani kubwa na aliyekuwa mgombea wenu Joshua Nassary.Msije mkajidanganya mkamteua mtu mwingine.Ni wazi kwa nguvu ya CDM sasa wenye pesa watajipenyeza kugombea ili waukwae ubunge.
Nawaambia wazi kamati kuu ya CDM mkimchakachua Joshua Nassary tutakuja huko makao makuu na mabango na tutawafungia ndani ya ofisi kwa kufuli.
Dr Slaa najua uko huku jamvini.Hakikisha wajanja hawatapenyeza pesa kwa ajili ya kumtosa kijana wetu Nassary.Tuna imani kubwa na huyu kijana.
Kamati kuu hakikisheni mnamtendea haki huyu kijana.Huyu kijana ni machachari mfano wa Lema,Mnyika,Zitto nk.
Hayo ni mawazo yangu kwenu kamati kuu.Tupeni chaguo tunalolitaka.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahali Pema
Hivi kwa nini watu wanasema peponi? =Je peponi sio kwamba wanaishi mapepo?
RIP Hon. Jeremiah Sumari. . . .he died last night but I still don't know how did that happen. . . For more information We've to wait for the upcoming ITV/TBC News at 8.00pm. . .Wishing Y'all a Nice Evening Wherever You're