Hii ni hatari sana, hizi enzi zitapita tu kama zilivyopita enzi za N.Mandela aliwekwa ndani lakini spirit ilikuwa njeBadala ya kutuletea Tanzania ya viwanda wanawinda wapinzani kama swala!!
Hii ni hatari sana, hizi enzi zitapita tu kama zilivyopita enzi za N.Mandela aliwekwa ndani lakini spirit ilikuwa njeBadala ya kutuletea Tanzania ya viwanda wanawinda wapinzani kama swala!!
Polisi wengi walikuwa na Vitambi , wanene lakini UKUTA imewakurupua wamefanya mazoezi Mwezi mzima huku wakiitangaza UKUTA Kila kona , wapo polisi wengi wanawashukuru sana UKUTA kwa sababu umesaidia walipwe haki zao posho na malimbilikizo ya Madai mbalimbali ikiwemo Pesa za likizo nk, kwa kweli UKUTA umeleta mengi hata wajanja wa CCM akina February wamepiga Pesa kwa kisingizio cha kuzitumia kumchonganisha Ukawa , kuna fursa nyingi huko CCM kupitia kisingizio cha UKUTA .Watakamata watanzania wangapi?? Wanazidi kuipa kick UKUTA! Wasingeipa promo namna hii isingekuwa hot! Sasa hata watoto wadogo wanajua nini maana ya UKUTA, serikali ndio imeipandisha chart UKAWA! Hata wakiwakamata hali bado ni tete
Nimependa jina lako! sijui namie nijiite Masanga au Ng'wang'alanga ahahahahahahahAfadhali majinga yaendelee kupunguzwa mtaani.
UKUTA itaibua vioja usishangae baadae kusikia Ufisadi sehemu kisa kuna Pesa zimeliwa na wajanja kwa kisingizio kuwa zimetumika kupambana kuzuia UKUTA .Ukitoka mbele ya gazeti kwa kufumaniwa na mke wa mtu au kuiba pesa za umma ndio aibu, lakini kama ni sababu za mtizamo wako kisiasa ni credit kubwa kwa waliojitambua na of course pigo kwa wasiojitambua.
Godbless Lema naona zaidi ya mwezi hajapata coverage yoyote kwenye media na jamaa wamemsaidia kuonekana.
Kwa chama kipi hasa cha upinzani!?Utoto ni nini? Kudai haki ya mikutano ni Utoto , kuzuia au kupiga marufuku mikutano ndiyo Utu mzima ? Tambua aina ya siasa ya CCM hata angekuja Obama Tanzania hawezi kushinda uchaguzi , Nani kakuambia CCM bila kamati za January na wale vijana wake wa IT kuchakachua wangeshinda uchaguzi ? Kama CCM wanataka siasa waruhusu uhuru wa kujieleza , mikutano , maandamano wasiwe wasiwe wapiga ramli kuwa kutakuwa na Fujo wakati hakuna Fujo .
Kuzuia mikutano na uhuru wa siasa ndiyo speed ? wewe unaona ni haki kuwaziba upinzani midomo ?Kweli Mh. Mbowe kachukua akili zenu zote, ngoja tumwombe awarudishie, baad ya kutafuta sababu kwann kakamatwa ww unaanza ilaumu serikali, kwan yy ni nani mpaka asikamatwe? Tafuta sababu ya yy kukamatwa nenda fuatilia. Kwel Mh. Magufuli kawazidi kete mwaka huu mnahaha kumfukuza na kwan speed yake hamtampata hahaha
Afadhali majinga yaendelee kupunguzwa mtaani.
New member.Nimekubali kuwa serikali hii ni woga.cha kumkamata lema ni nini?
wako busy na ukuta...majizi ya fedha za umma wameshayakamata ? au nguvu zao ni kunyanyasa wapinzani tuu.
Mazungumzo yepi ambayo we unayataka labda? Ivi nikuulize swali ukifa katika maandamano ya UKUTA unaenda PEPONI au? Ebu tutumie akili kufanya mambo haya... Jiulize Mboe na Lowassa wanakuja kuandamana? Na je familia zao i,e watoto wao watakuwepo..? Kisha ukipata jibu nenda kapokee kichapo...Hivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Hivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Hii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1