Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Mnafiki kama ubora wako wakamatwe kwa kosa gani?Kamata wote wanafiki
Mnafiki kama ubora wako wakamatwe kwa kosa gani?Kamata wote wanafiki
Taja chama siyo unabinua midomo kama Mwajuma..tunawaelekeza kuwa polisi au mahabusu si sehemu ya kumnyamazisha mtu asuongee ukweli labda mmbambikizie kesi atupwe jelaWatu wengne bhana,tatzo la vyama flani vya siasa wanafikiri kupelekwa rumande au kushikwa na polisi ndo nembo ya kua mwanachama bora
Hivi kabla hujapost kitu think on it b4 releasing it to the public.kufa kupo ufe kwenye ukahaba,ufe kanisani kufa ni kufa.chadema wanatekeleza kilichopo ndani ya katiba huyo si aliapa kulinda katiba mbona leo hii anakikwepa.mwezi Jana Kenya walifanyaje? Mpaka tume ikavunjwa.kwani raila aliyeitisha maandamano ni raisi ?but kupitia nguvu ya umaa si serikali imekubali,hakuna sifa atakayopata rais kwa kuua wananchi wanaodai haki yao.Mazungumzo yepi ambayo we unayataka labda? Ivi nikuulize swali ukifa katika maandamano ya UKUTA unaenda PEPONI au? Ebu tutumie akili kufanya mambo haya... Jiulize Mboe na Lowassa wanakuja kuandamana? Na je familia zao i,e watoto wao watakuwepo..? Kisha ukipata jibu nenda kapokee kichapo...
Kwa mawazo yako kama si yenu maaskari kazi yao ni kupiga na kuua tu ?!. Hawana uweledi wa kuzuia maandamano ?!Mazungumzo yepi ambayo we unayataka labda? Ivi nikuulize swali ukifa katika maandamano ya UKUTA unaenda PEPONI au? Ebu tutumie akili kufanya mambo haya... Jiulize Mboe na Lowassa wanakuja kuandamana? Na je familia zao i,e watoto wao watakuwepo..? Kisha ukipata jibu nenda kapokee kichapo...
Wewe punguani unaweza kuthibitika hizo tuhuma?au niwaite Mods waje kukupiga ban tena
Na huu ndio uthibitisho kwamba ccm mmeishiwa. Wenzenu wanashindana na nyie kwa hoja...nyie badala ya kujibu kwa hoja mnajificha nyuma ya polisi. Useless!Thubutu uone kichapo
Kwanza akitupwa jela kwa kesi ya kubambikiza ndio wanamwaga petroli kwenye moto. Au umesahau ya Mandela mkuu?Taja chama siyo unabinua midomo kama Mwajuma..tunawaelekeza kuwa polisi au mahabusu si sehemu ya kumnyamazisha mtu asuongee ukweli labda mmbambikizie kesi atupwe jela
Tuwe wakweli na kutanguliza uzalendo kwa kujiuliza nani yuko sahihi kwa mstakabali wa nchi hiiSerikali inaendelea kupuyanga
tutashukuru kamandaNdani ya muda wa nusu nitakuwa hapo kituo kujua nini kinaendelea kuhusu Mbunge wetu watu wamekuwa hofu sana sijui kuna nini . Lema tuna imani naye hajawahi kushindwa katika kutetea haki siku zote
Hatuwezi kurudi nyuma daima #UKUTA.
unahisi na wao wanataka mazungumzo??Hivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Jela za TZ hazikupi uhuru wa kufanya harakati zako ukiwa ndani ni tofauti na SAKwanza akitupwa jela kwa kesi ya kubambikiza ndio wanamwaga petroli kwenye moto. Au umesahau ya Mandela mkuu?
bahati mbaya wa kuandamana hawapo!Hii ya kukamata viongozi wetu itatufanya tuanze maandamano kabla ya tar 1
"Those who would give up essential liberty, to purchase a little temporary safety, deserve neither liberty nor safety" Benjamin FranklinEndeleeni kushangilia huu mvutano. Hii nchi ikiwaka viongozi wakuu wa vyama na serikali watapanda ndege haoo. Halafu wewe na jamaa yako mbaki mnataabika. Watanzania tumekuwa wa ajabu kama misukule ya wanasiasa.
Mungu ibariki Tanzania
We are heading in the right direction of foolproof democracy where the likes of CHADEMA leaders easily get identified as "violence agitators".Where are we heading Tanzania ???
Mkuu hivi unadhani Mandela na ANC walifanikiwa kwasababu makaburu walimpa mandela "uhuru wa kufanya harakati"? ilikua ni juhudi za ANC na marafiki kama wakina nyerere waliofanya harakati mpaka dunia ikasikia na kuanza kuwawekea vikwazo makaburu. Siku ukipata nafasi jaribu kwenda kutembelea kisiwa cha robben kule cape town alipofungwa mandela..ndio utajua ninachosema.Jela za TZ hazikupi uhuru wa kufanya harakati zako ukiwa ndani ni tofauti na SA