Mazungumzo na wapuuzu ya nini!!?Hivi kwa mwendo huu kuna haja ya mazungumzo?
Sasa wakuu wa vitu vya polis imekuwa ni ujiko kwao kuwakamata wabunge wa upinzani inatumika Kama daraja la kujipatia vyeo na sifa , Safari hii Tanzania itakuwa kama Uganda yaani wanasiasa wajipange kuteseka sana .Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
Umewahi ingia mahabusu na kupewa kibao au unasimuliwa tu? Vyombo vya dola ni pamoja na polisi,wapelelezi na special...Sasa huko ndio ataenda kuongea vizuri. Unavijua vyombo vya dola kamanda?
Utoto ni nini? Kudai haki ya mikutano ni Utoto , kuzuia au kupiga marufuku mikutano ndiyo Utu mzima ? Tambua aina ya siasa ya CCM hata angekuja Obama Tanzania hawezi kushinda uchaguzi , Nani kakuambia CCM bila kamati za January na wale vijana wake wa IT kuchakachua wangeshinda uchaguzi ? Kama CCM wanataka siasa waruhusu uhuru wa kujieleza , mikutano , maandamano wasiwe wasiwe wapiga ramli kuwa kutakuwa na Fujo wakati hakuna Fujo .Sivyo.Lkn kwa sababu nchi hii hakipo chama pinzani makini bado CCM Chakii wataendelea kuongoza tu hadi hapo wapinzani wa kweli watapopatikana.Kinachotufanya(Baadhi yetu)tusiwaamini no huko kushindwa kwenu kusimamia hoja na takarashi zenu!Hilo ni tatizo kubwa.Hamjajipanga kimkakati na ki-sera pia.Itoshe kusema,ninyi bado ni GENGE fulani la watamanio madaraka na si uongozi.JIPANGENI na hasa punguzeni UTOTO.
Angekuwa baba yako vipi! Ungeshangilia kutiwa adabu....Akamatwe atiwe adabu...
Kwani huyo JPM ndio mungu wa dunia hii mbona sisi wote tunaisi njaa, tunalala hata kama chini, yeye kitandani, alafu pia tutakufa, sasa unapo zungumza hadhi nini maana yake, unadhani pana binadamu ana hadhi zaidi ya mwenzake hadi eti msizungumze, hakika mbora kwenu ni yule anaeniabudu Tu.Hiyo hadhi ya kuzungumza na JPM kwanza huna!Na hana mda mchafu km huo.
Haya, umeridhika
Kelele za nini sasa?Kwani huyo JPM ndio mungu wa dunia hii mbona sisi wote tunaisi njaa, tunalala hata kama chini, yeye kitandani, alafu pia tutakufa, sasa unapo zungumza hadhi nini maana yake, unadhani pana binadamu ana hadhi zaidi ya mwenzake hadi eti msizungumze, hakika mbora kwenu ni yule anaeniabudu Tu.