Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Mbunge Godbless Lema akamatwa na polisi

Badilisha watanzania andika chadema.





Ubaguzi wa kiwango hiki cha PhD ulioasisiwa na "mtakatifu wenu" ndiyo unaotufanya na sisi tulionyang'anywa haki ya kuwa Watanzania tufurahie pale tuonapo makada wa ccm waitwao policcm wanaposhikishwa adabu.Nitamsikitikiaje mtu aliyejiapiza kunidhuru huku akiendelea kufanya mazoezi ya mbinu za kuniua?Mtu anayeniwinda kama digidigi eti kwa sababu nimekataa kupiga magoti na kusali sala ya "Ritania ya mtakatifu wa Tanzania" naanzaje kumuonea huruma pale naye anapokumbushwa kuwa ana mwili wa nyama uwezao kupenya risasi?

Amani na utangamano wa Taifa haviletwi kwa matamko ya kipumbav,kuendelea kulitenga kundi la watanzania walioikataa CCM hakuwezi kuliponya Taifa,chuki hii inayokuzwa kwa ghalama ya dola italipasua Taifa na asiwepo wa kuliunganisha,yangu macho!!
 
This is way too much now... Things are getting out of control!
 
Aresting them for nonsence will not help anymore.what ils needed is that jpm sit together with thèse people and have a peaceful talk with them.
 
Wao walisema wako imara kuzibiti maanadamo sept 1 alafu wanawakamata wanaadamanaji hata kabla ya tarehe yenyewe,huo sio uoga?
 
Ndani ya muda wa nusu nitakuwa hapo kituo kujua nini kinaendelea kuhusu Mbunge wetu watu wamekuwa hofu sana sijui kuna nini . Lema tuna imani naye hajawahi kushindwa katika kutetea haki siku zote
Hatuwezi kurudi nyuma daima #UKUTA.
Update ==================
Baada ya kufika Kituo cha Polisi Central hapa ulinzi umeimarishwa sana mbunge wa Arusha Mjini Godbless J Lema bado yupo kuna kikao kinaendelea kati ya viongozi wa Polisi baada ya hapo tunaweza kujua kinachoendelea.
 
Huwezi mnyamazisha mtu kwa kumuweka mahabusu hata siku moja labda awe hajawahi kaa kwa sisi wengine ambao tumeingia huko toka tukiwa darasa la 5 si kwa kushangaa..watafute suluhisho
Watu wengne bhana,tatzo la vyama flani vya siasa wanafikiri kupelekwa rumande au kushikwa na polisi ndo nembo ya kua mwanachama bora
 
Bananga aliyewekwa ndani siku tatu kwa kosa la kusema
"huwezi angusha ukuta bila 'kuushika ukuta' ""

Hili kosa hata mafundi mason lazma watawekwa ndanii
Hilo nalo ni kosa?
Mwisho wa siku hata kumtaja Rais kwamba ni "Pombe" litakuwa kosa.
 
Natoa pongezi kwa Police kumkamata mropokaji huyu
Naomba waongeze nguvu maana walivimba vichwa hawa.
 
UKUTA.png

Kwa mtindo huu, majambazi walio smart nadhani wanapanga kufanya matukio siku ya September 01 manake wajomba watakuwa busy sana!!!
 
Back
Top Bottom