Mbunge captain John Komba hii ni aibu...

Chizy Za kitaa

Senior Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
167
Reaction score
13
Mbunge wa mbinga magharib Captain john komba juzi siku ya Ijumaa KUU alitembelea parokia ya Tingi huku akiwa na nia ya kuhudhuria misa takatifu ya ijumaa kuu pamoja na kuteta jambo na wahumini wa parokia hiyo...kiukwel alichelewa kuwasili tofaut na ratiba yake aliyoipanga..

Alipowasili alianza kutolea 7bu ya kuchelewa akasema......"ndugu zangu wanatingi nimechelewa kwa7bu barabara ni chafu sanaaa......" hapa ndo kiin cha mada yangu,,,sasa yeye anasema nimechelewa kwa7bu barabara chafu anamwambia nani sasa, kwan humo kanisan alikuwa waziri wa ujenzi bwana Magufuli? anafanya km hana kisomo..
 
Labda kanisa hilo liko kwenye Jimbo la mpinzani,maana according to wanachama wa chama changu maeneo yenye wabunge waupinzani hayana maendeleo.Pili mngetakiwa kumuuliza kama kuna waziri wa ujenzi pale kanisani au mkandarasi aliyeagizwa kutengeneza barabara husika.
 
Ni dhahiri sasa mmeishiwa mnajadili hata watu wakienda Kanisani na Msikitini. Nadhani si muda mrefu mtaanza kujadili nani ameenda msalani mara ngapi na alibeba kopo au hajabeba? Ni dalili za kuishiwa kuanza kujadili watu badala ya issues na huu ni Umbeya uliotukuka Ubora.
 
Mbunge wa mbinga magharib Captain john komba juzi siku ya Ijumaa KUU alitembelea parokia ya Tingi huku akiwa na nia ya kuhudhuria misa takatifu ya ijumaa kuu pamoja na kuteta jambo na wahumini wa parokia hiyo...kiukwel alichelewa kuwasili tofaut na ratiba yake aliyoipanga..

Alipowasili alianza kutolea 7bu ya kuchelewa akasema......"ndugu zangu wanatingi nimechelewa kwa7bu barabara ni chafu sanaaa......" hapa ndo kiin cha mada yangu,,,sasa yeye anasema nimechelewa kwa7bu barabara chafu anamwambia nani sasa, kwan humo kanisan alikuwa waziri wa ujenzi bwana Magufuli? anafanya km hana kisomo..

Yeye alikuwa anatoa sababu ya kuchelewa,hakuwa analalamika hebu kuwa muelewa.
 
Mwambie kama anataka kwenda msituni
amtangulize Lulu.
 
Nikitafakari lile tumbo na akili finyu alizo nazo huyu jamaa saa zote najiona kama naota au nasoma gazeti la sani. Kweli Mungu anatisha. Ukubwa wa kicha siyo akili.
 
Kwani Komba amesoma wapi? Elimu yake ya kuungaunga BALI angekuwa mbali kama angejiendeleza kusoma tatizo totozz ameendekeza mno mno huyu Mngoni. na busara kichwani ndo hivyo tena!
 
Ni dhahiri sasa mmeishiwa mnajadili hata watu wakienda Kanisani na Msikitini. Nadhani si muda mrefu mtaanza kujadili nani ameenda msalani mara ngapi na alibeba kopo au hajabeba? Ni dalili za kuishiwa kuanza kujadili watu badala ya issues na huu ni Umbeya uliotukuka Ubora.
waelekeze hilo mainterahamwe walioko kwenye bunge la katiba,nadhani watakuelewa!
 
Jimbo la komba hasa maeneo ya umatengoni barabara ni shida, hazipitiki. Wakati wa uchaguzi kazi yake ni kuwapa wale wamatengo pilau, pombe, kanga, tshirt na hata 500, 500! Miongoni mwa majimbo ambayo magamba wanashinda kirahis ni Mbinga. Ccm inatumia umasikini wa wana mbinga kuwarubuni!
 
Mbunge wa mbinga magharib Captain john komba juzi siku ya Ijumaa KUU alitembelea parokia ya Tingi huku akiwa na nia ya kuhudhuria misa takatifu ya ijumaa kuu pamoja na kuteta jambo na wahumini wa parokia hiyo...kiukwel alichelewa kuwasili tofaut na ratiba yake aliyoipanga..

Alipowasili alianza kutolea 7bu ya kuchelewa akasema......"ndugu zangu wanatingi nimechelewa kwa7bu barabara ni chafu sanaaa......" hapa ndo kiin cha mada yangu,,,sasa yeye anasema nimechelewa kwa7bu barabara chafu anamwambia nani sasa, kwan humo kanisan alikuwa waziri wa ujenzi bwana Magufuli? anafanya km hana kisomo..

Huyu mtu ni janga na nawashangaa sana hao waliompa kura akawawakilishe bungeni
 
Ni dhahiri sasa mmeishiwa mnajadili hata watu wakienda Kanisani na Msikitini. Nadhani si muda mrefu mtaanza kujadili nani ameenda msalani mara ngapi na alibeba kopo au hajabeba? Ni dalili za kuishiwa kuanza kujadili watu badala ya issues na huu ni Umbeya uliotukuka Ubora.

Kama hujaona hoja hapo, huna haja ya kujiita GT. Wananchi wamepita barabara hiyohiyo, wamewahi; kiongozi mwenye dhamana katika barabara uliyotakiwa kuishughulikia unachelewa na unalalamikia uchafu wa barabara husika kwa wananchi waliokupa uongozi uwaongoze katika kuweka sawa barabara unayoilalamikia. Huyo si kiongozi mzigo? Kwanini asijadiliwe?
 
Ni dhahiri sasa mmeishiwa mnajadili hata watu wakienda Kanisani na Msikitini. Nadhani si muda mrefu mtaanza kujadili nani ameenda msalani mara ngapi na alibeba kopo au hajabeba? Ni dalili za kuishiwa kuanza kujadili watu badala ya issues na huu ni Umbeya uliotukuka Ubora.

Mkuu jaribu kuwa mwelewa wa hii mada then comment kwani hajadiliwi kwenda kanisani bali kinachojadiliwa hapa ni maneno aliyoyatamka tena kwa shm isiyohusika na hata kwa watu wasiohusika
 
Ndo aina ya viongozi Tz tuliokuwepo nao
 
safi sna mnachagua mwimbaji watarab na kwaya mnategemea nn?nyie wamatengo bure kabisa,hapo tingi hadi dar pori hakuna barabara afu hlo mwimbaji wa taarab anakuja hapo anawapa pombe natishirt mnampa kura,hovyo sna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom