Mkuu
Kasisi karagwe, huu ndio ujinga usiotakiwa kabisa humu jf, baadhi ya nyinyi members wapya mliojiunga hivi karibuni mnakuja na hoja za utumbo utumbo kama huu kisi cha kulishushia hadhi hili jukwaa letu la jf!.
Unapoleta tuhuma, kwanza ziwe za kweli, be very specific na toa source!, huwezi kuleta tuhuma kama hizi halafu huyo mbunge wala humjui jina!.
Bahati nzuri tangu uchaguzi mdogo wa jimbo la Busada, mimi nilikuwepo, huyu mbunge wa Busanda Mhe. Lolensia Bukwimba, namfahamu fika ni mtu wa namna gani!, kwanza yuko very humble and down to earth, japo sikuwepo eneo la tukio but sio type ya kurusha noti za elfu kumikumi eti ili aondoke!. Mtu anayeweza kufanya hivi ni kichaa tuu peke yake!. Namuomba mtoa hoja athibitishe vinginevyo mode, fungilia thread za utumbo kama hizi, zinatushushia jukwaa letu hadhi.
NB. Mimi kama mwandishi, ukipata tip ya taarifa kama hii, unapaswa usiiaminie moja kwa moja bali fanya any verification possible!. hivyo naomba kama kuna mwana jf mwingine yoyote huko, atuletee uthibitisho wa tuhuma hii!.
Nijuavyo mimi kitongoji cha Katoro CCM haina chake, lakini Busanda in general, bado ni ngome ya CCM!.
Kwa msio jua mnaweza kujikumbusha nilipokuwa Busanda.
[h=3]
Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni ..[/h]
Pasco
Pasco