Papaa Azonto
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 319
- 277
Mkuu Pasco, Alipokuwa katika kijiji cha bugogo, kata ya Bukoli. Hapa alikuwa anaongea na wanachama na baadhi ya viongozi. Hakutupa hela ili apate upenyo wa kuondoka, la asha alimaliza mkutano na wanachama pamoja na viongozi kisha akaondoka zake. Na Mimi nikaondoka zangu.