Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,152
- 128,807
Mkuu, soma post no. 17!, interest zimekuwa declared!, ila kwa mtu humble na down to earth kama huyu mama, kufanya ufedhuli huo, this is uncalled for!.ambavyo hajaleta habari kamili ni kweli taarifa inapungua credit,
ila upande mwingine wewe bwana Pasco umechafukwa kupita kiasi,
sijaona sababu ya wewe kutokwa povu jingi kiasi hiki otherwise you have to declair interest zako hapo Busanda tutakuelewa.
Pasco