Makupa najua wewe mara ni mpuuzi wa hoja na hapa kwa kwa ni Mbunge wa CCM unamtetea lakini nami nakubaliana nawe kwamba ndoa yao ni maisha hakuna haja ya kuandika ujinga kama huu .Kijana miaka 26 aliamua mwenyewe na maisha yao haya mahusiano na status za kazi zao .Habari hii haisaidii lolote maana mitaani wadada wa miaka 20 anatembea na wazee na vijana wadogo taste zao ni akina Mama watu wazima .FREEDOM
how abt Malecela na Anna Kilango??????????????
How about Slaa na Josephine?
Rwakatare na hyu mama lao moja!
Napingana kabisa na haya mawazo eti lengo la ndoa ni watoto siyo kabisa,watoto ni matokeo ya ndoa siyo malengo wako wengi waliooana na hawna mpango wa kuzaa watoto kabisaa.Tatizo wanawake mnataka mlingane na wanaume kwa kila hali, hii haiwezekani asilani. Lengo kuu la ndoa ni kupata watoto, mwanaume uwezo wa kuzalisha haukomi, mwanamke akifika 45 ni shida kuzaa sasa huyo mama alioana na huyo mtoto ila wafanye nini kama sio kumharibia maisha kwa tamaa zake za kupenda kugegedwa tu.