Ni jambo la kheri kuomba msaadana asidhihakiwe.Mbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.
Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.
CHANZO: UTV Habari.
Ni jambo la kheri kuomba msaadana asidhihakiwe.
Depression inaua watu wengi kimyakimya(hususani wanaume)..
Kuna mahojiano nilimuona akisema mke wake alimkataza kuoa tena.Pengine yuko kwenye dilemma katika hilo..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Ataota mvi very soonMbunge wa Morogoro na meneja wa Diamond mheshimiwa Babu Tale amesema tangu afiwe na mkewe takribani mwaka mmoja uliopita amekuwa na msongo wa mawazo unaosababishwa na kumbukumbu za kifo hicho pamoja na jukumu la kulea watoto aliloachiwa na mkewe.
Aidha Babu Tale amewaomba wataalamu wa saikolojia nchini kujitokeza na kumsaidia kiushauri ili aweze kurejea katika hali ya kawaida.
CHANZO: UTV Habari.
Dah watu mna maneno!Nadhan huwa anamtokea usiku
Alale na kisamvu ishu itakuwa imeisha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
OooohHuyu kaupata ubunge bila kutegemea, halafu wenge la mkewe halijaisha bado Hana Amani moyoni.
Ndiyo maana nilimuona Magomeni Mwembechai, Juzi ya tarehe 14/07/2021 Majira ya saa Saba mchana Akiwa anajadiliana na wadau nje ya nyumba (Getini) ya aliyekuwa Mtabiri Maarufu Hayati Sheikh Yahya Hussein.
Sijawahi kuwa na imani na Ma-Last born, huyu naye kama vile ndiye wa kwanza kufiwa. Kifo cha mkewe kimekuwa jambo la kutafutia huruma kwa watu.
Duh 😀Na utakuta kuna madem wanampa mzigo ili kumfariji anapiga mbunye vizuri
Tutake radhi kina last bornSijawahi kuwa na imani na Ma-Last born, huyu naye kama vile ndiye wa kwanza kufiwa. Kifo cha mkewe kimekuwa jambo la kutafutia huruma kwa watu.