Mbunge aomba kuwe na chuo cha kufundisha wanaume kutongoza wanawake

Kisanduku

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
284
482
Kwanza niombe thread hii isidhaniwe kuwa ni kejeli na hivyo iondolewe. Nimesikia na kuona kwa macho yangu na wanaotaka kuthibitisha waangalie hansard ya leo (April 12, 2013).

Ilikuwa ni kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Celine Kombani ambaye alieleza jinsi baadhi ya wanaume wanavyowachukua wanawake ombaomba au vichaa na kujamiiana nao na kisha wanawatekeleza wanapopata mimba.

Ndipo mmbunge mmoja wa viti maalum CCM alipoinuka kuuliza swali la nyongeza akisema, kwamba wanaume wanaowanyia hivyo hawa walemavu ni kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi wanawake. Hivyo, kwa nini serikali isiunde na kujenga chuo cha kufundisha wanaume kushawishi mwanamke hadi ampate?

Celine Kombani alijibu serikali haiwezi kujenga chuo cha namna hiyo kwani suala la njia ya mwanaume kumtafuta na kumshawishi mwanamke amkubali ni suala la binafsi.
 
Naona maCCM yameamua kuja na mawazo ya kijingajinga ili kutoa attention ya wananchi kwenye masuala ya muhimu
Haya mnayoyakoroga hayatoenda away that easily......another silly season kwakweli
 
Pamoja na kwamba sipendi kunyanyaswa kwa hao vilema, tunachojua wote ni kwamba siku hizi uwezo wa mwanaume kutongoza ni kuwa fisadi. Ukiwa fisadi tayari una uwezo wa kutongoza hata wanawake wanaopania kuwemo katika list ya wabunge wa viti maalum.
 
Maccm majinga sana...ccm ni janga la taifa kama mwinguru mchemba la mavi!
 
Kama haya ndiyo mambo yaliyowapeleka bungeni basi tumekwisha. Hatuwezi kuendelea kwa kutoa hoja za vioja kama hizo.
 
Kwanini isiwe chuo cha watoto yatima? Ili hao watoto wanaopatikaka kwanjia hiyo waweze nufaika.
 
Kwanza niombe thread hii isidhaniwe kuwa ni kejeli na hivyo iondolewe. Nimesikia na kuona kwa macho yangu na wanaotaka kuthibitisha waangalie hansard ya leo (April 12, 2013).

Ilikuwa ni kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Celine Kombani ambaye alieleza jinsi baadhi ya wanaume wanavyowachukua wanawake ombaomba au vichaa na kujamiiana nao na kisha wanawatekeleza wanapopata mimba.

Ndipo mmbunge mmoja wa viti maalum CCM alipoinuka kuuliza swali la nyongeza akisema, kwamba wanaume wanaowanyia hivyo hawa walemavu ni kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi wanawake. Hivyo, kwa nini serikali isiunde na kujenga chuo cha kufundisha wanaume kushawishi mwanamke hadi ampate?

Celine Kombani alijibu serikali haiwezi kujenga chuo cha namna hiyo kwani suala la njia ya mwanaume kumtafuta na kumshawishi mwanamke amkubali ni suala la binafsi.
Duh! maswali mengine bwana.ndiyo maana chama chetu kimemuweka kwenye viti maalumu.Hatukupata anayefaa kuziba nafasi hiyo. Tupe jina lake mkuu.
 
Magamba hayana jipya!!! yako busy kutengeneza movie ya kuisambaratisha CHADEMA. Eti huyu naye ni Mbunge!!!! anatia kichefuchefu tu kwa kutoa hoja ambazo zinastaajabisha sana.

Naona maCCM yameamua kuja na mawazo ya kijingajinga ili kutoa attention ya wananchi kwenye masuala ya muhimu
Haya mnayoyakoroga hayatoenda away that easily......another silly season kwakweli
 
Letcia Nyerere mbunge viti maalumu Chadema
Duh! maswali mengine bwana.ndiyo maana chama chetu kimemuweka kwenye viti maalumu.Hatukupata anayefaa kuziba nafasi hiyo. Tupe jina lake mkuu.
 
Kwanza niombe thread hii isidhaniwe kuwa ni kejeli na hivyo iondolewe. Nimesikia na kuona kwa macho yangu na wanaotaka kuthibitisha waangalie hansard ya leo (April 12, 2013).Ilikuwa ni kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Celine Kombani ambaye alieleza jinsi baadhi ya wanaume wanavyowachukua wanawake ombaomba au vichaa na kujamiiana nao na kisha wanawatekeleza wanapopata mimba.Ndipo mmbunge mmoja wa viti maalum CCM alipoinuka kuuliza swali la nyongeza akisema, kwamba wanaume wanaowanyia hivyo hawa walemavu ni kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi wanawake. Hivyo, kwa nini serikali isiunde na kujenga chuo cha kufundisha wanaume kushawishi mwanamke hadi ampate?Celine Kombani alijibu serikali haiwezi kujenga chuo cha namna hiyo kwani suala la njia ya mwanaume kumtafuta na kumshawishi mwanamke amkubali ni suala la binafsi.
huyu Leticia Nyerere anafanya comedy tu,serikali haina shule,haina wataalam ina mambo kibao,kama yeye anajua basi atoe elim
 
Back
Top Bottom