Rwaz
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,970
- 3,325
sijui kama tutapata majib nami nayasubiri kwa hamu. alafu mwanasiasa anajifanya kufia wananchi hadi waandamane na huku hatak maslahi yake ya kiwizi yawe ajenda. kifup hatuna mwanasiasa anayemaanisha kuipeleka nchi mbele! nadhan itafikia wakat kila mtu atafikiria anaibaje kipande cha keki ya taifa kwa aman au kwa mbinde. (the survival of the fittest)Anaejua kwa nini wabunge wanalipwa kiasi chote hichi cha hela hebu anieleweshe. Jee ni halali kweli. Lini mambo haya yatabadilika? Jee na nchi nyengine ndio wana utaratibu huu?