Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
Unajua siku za nyuma niliambiwa namwandama sana Salva lakini ukweli ni kuwa hata huko CHADEMA nako kumbe kuna problem ya PR
Hivi who is in charge of Communication and Media huko Chadema?
I mean mbowe2008@gmail.com
I mean letterhead ya bunge, ina email address ya mbowe na mwandishi ni Zitto Kabwe
and these clowns maana I cant even call them comedians kwani hata comedians get paid for their performances. Sasa these jokers wants us to take them serious?
why should Salva alone bear the brunt of my criticism halafu Freeman, Zitto and their entourage wakapewa free ride?
I mean how hard is it to set up say:
srweyemamu@ikulu.gov.tz
or
mawasiliano@ikulu.gov.tz
or
zittokabwe@chadema.org.tz
or
fmbowe@chadema.org.tz
or
chairman@chadema.org.tz
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
makes you question inawezekana ikawa huko Chadema nako kuna ufisadi wa hali ya kutisha
maana pesa na budget za PR wanazo lakini naona wamekuwa complacent ...kwa nini Zitto anatumia stationery za Freeman?
how hard is it kuwa na domain name yenye email address yake?
sasa if they cant manage minute stuff like these kweli wanaweza kutupatia National ICT policy ambayo ni mbadala?
It's the content that counts.
ndugu yangu hujui system inavyofanya kazi. mf kuna jinsi ya kuandika adress ambapo sekretary anaweza kufungua na nyingine sekretary hafungui. tofautisha igp mwema na mwema igp. kaulize wakupe tofauti.
Nadhani natofautiana na wewe mkuu. Tunahitaji kuwasiliana na mkuu wa kambi ya upinzani bungeni directly siyo mawakala wake. Huo utaratibu wa mawasiliano kupitia kwa katibu mahususiii sijui nani ulipitwa na wakati long time. Kwa wale ambao ni wa miaka ya 47 kama hao wa ccm na serikali kuu basi ndio wanatumia wasaidizi.
Efficient communication is important, siyo urasimu usio na tija wa mwaka 47
Mtoa hoja ana pointi ya msingi tu!
Mimi nina run kikampuni kidogo lakini ili kukapa heshima nina domain inayoukuwa hosted kwenye server ya local service provider wangu pungufu ya dola 200 kwa mwaka.
Sasa kwa sababu ya security concern CDM wanaweza nunua server yao kwa bei nzuri tu kwa kuanzia hata $10,000. Kutumia email inayoonekana kibinafsi zaidi huleta tafsiri ya hasi.
Ushauri wangu CDM wawe na server na domain yao (kama hawana) ili mawasiliano ya kawaida/jumla yaende huko. Kitu kama ni konfidensho sana ruksa kutumia email binafsi kama kuna wasiwasi na IT expert. Mbona hata simu za mkononi wakati mwingine hawa wakubwa wanakuwa nazo mbili (one known to the public).
CDM wachukue changamoto hii kwa mtazamo chanya