nashindwa kuelewa nani wa kumwamini katika nchii hii upande wa CCM, Leo huyu atasema hiki,kesho atakikana,kesho kutwa atadai anafanyia marekebisho kile cha awali au mara alinukuliwa vibaya,media imepotosha yaan kombo kila kitu.INAMAANA SPIKA HAKUWA AMESHAURIANA NA NAIBU WAKE?