Mbowe vs Ndugai live on TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe vs Ndugai live on TBC1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul S.S, Feb 9, 2011.

 1. P

  Paul S.S Verified User

  #1
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Angalia TBC1 sasa, Mbowe na naibu spika wapo live
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mbowe anaeleza kwanini wanatoka katikati ya mijadala bungeni, ni njia sahihi ya kuonyesha maximam protest na haivunji kanuni yoyote
   
 3. M

  Mantisa Senior Member

  #3
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu tupe update huku tayari tushaanza kuona athari za dowans. Tanesco wameshachukua chao
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa ndugai ataweza kukabiliana na Kamanda Mbowe? Tuhabarishe tafadhali ndugai amerespond vipi?
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu kama sija mnukuu vibaya ndugai anasema cdm hawalazimishwi kuunda uongozi kambi ya upinzani wala tafsiri ile haiipokonyo mamlaka iliyopo, kwasasa wamerudi studio kwa habari za michezo kisha watarejea tena na mjadala.
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Naibu Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwamba Kilicho fanyika katika mjadala bungeni jana ni kutoa tafsiri ya kanuni inayotoa mamlaka ya kuunda Kambi rasmi ya upinzani bungeni na kueleza kwamba...hakuna mabadiliko yeyote ya kanuni hiyo yaliyofanyika

  Alisema kwamba kanuni hiyo inaeleza kwamba wabunge wote wanaweza kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni iwapo watapata asilimia 12.5 ya viti vyote vya ubunge

  Alimalizia kwa kusema CHADEMA wapo huru kuunda na kutengeneza uongozi wa Kambi rasmi ya upinzani peke yao bila kushirikisha vyama vingine vya upinzani

  Source: mahojiano ya TBC 1 ; Mbowe na Ndugai
   
 7. M

  Marytina JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  asante sana kwa taarifa kwani wengine tushatoka tupo barabani hatuipati TBC ila hawa CUF kweli ni CCM B
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ndugai anaeleweka sio ndumila kuwili, atamsaidia sana Makinda.
   
 9. Mwangaza

  Mwangaza Senior Member

  #9
  Feb 9, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 198
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mmh! habari njema sana hizi!! nilikuwa nimeshaanza kuchonga bango langu niingie street niandamane kupinga kubadirishwa badirishwa kanuni ovyo ovyo.
   
 10. Mtoto mzuri

  Mtoto mzuri Member

  #10
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :clap2: ni vema na ni sahihi ili kuwa na msimamo wa itikadi
   
 11. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #11
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Pwambafu!!! Kwa nini wabadili hiyo kanuni sasa na siyo bunge lililopita. Huo ni uhuni usiovumilika. Mafisadi wanajua kitakachofuata baada ya cdm kupata nguvu mwaka huu.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ngoja tuone
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  Feb 9, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0


  mkuu...taratibu kidogo...hawajabadilisha kanuni yeyote ile
   
 14. P

  Paul S.S Verified User

  #14
  Feb 9, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mbowe anasema kanuni haija badilishwa ila kubadili tafsiri ni kama sawa na kubaili kanuni, maana sasa wenyeviti wa kamati nyeti sasa watatokana na wapinzani wote ambao mwisho wa siku ni ccm ndio watakao amua maana wao ndio wengi ktk kamati hizo kwa kuwapigia wale wanao wataka
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  huyo ndungai ni mnafiki sana..........kwa jinsi alivyosoma jana inaonyesha hawataki cdm iunde kambi ya upinzani
   
 16. Yahemovich

  Yahemovich Senior Member

  #16
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi ipo, ila nadhani kunawapinzani waliofuata posho tu huko bungeni,ndo maana hili limetokea.
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Feb 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa kwa nini mizengwe kuhusu kambi ya upinzani ianze sasa na siyo wakati mwingine uliopita?
   
 18. n

  niweze JF-Expert Member

  #18
  Feb 9, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Badala ya kusolve matatizo yao ndani ya mafisadi na kukataliwa na wananchi CCM wanawapangia Chadema kitanda gani walale...Hivi nyie CCM ni binadamu mliezaliwa kama bianadamu wengine? Siku wanajeshi wataamua kuwawasha ndio ufahamu utarudi.
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Feb 9, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Natafuta dawa ya kumrekebisha spika huyu mpya, nadhani hajui people's power ni nni
   
 20. ChescoMatunda

  ChescoMatunda JF-Expert Member

  #20
  Feb 9, 2011
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,189
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hebu nielezeni kidogo hapa! !sasa chadema walitoka bungeni kwa hoja ipi kama leo inasemwa ni ruksa kwako kuunda kambi ya upinzani Bungeni??
   
Loading...