Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
nishamjibu Marjorie
Mheshimiwa MBOWE.
Kama kweli wewe ni mkweli na umekomaa kisiasa naomba utupe maana ya hili neno "WAPUKI" ambapo wewe ulikuwa member wake.
David Cameron juzi katimiza mwaka mmoja ndani ya ofisi conservative, wakati anapewa madaraka alikiri na kusema wazi zamani alikuwa akivuta bangi lakini yaliyopita si ndwele, jee naomba ujasiri wako? ukiwa mkweli kwa hili, mimi sina mjadala ni kukufuata tu huku Chadema tena nitakuwa mwanachama wa kudumu si kama Mwasiasa(kila chama anapita kuna chama kakaa wiki 2 tu).