Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Tangu lini chama cha sasa kikataa wanachama....acheni ujinga wa kipumbafu....wanakuja na tunawapokea kama wana chama wawngune....kwani tunapozunguka mikoani kupokea wana chama wapya huwa tunawahoji kwanza.. Hizi tabia sijawahi kuziona dunia ni...
Watu wana akili lakini hawazitumii kwa manufaa ya wengi, bali kwa manufaa ya wao na matumbo yao
 
Beba wote kwani wanawapiga kura nyuma yao ukianzia kura zao wenyewe.
 
Uchaguzi majimbo mangapi utarudiwa kutokana na timua timua huko Dom....je ni nani atakaye lipa gharama.....vipi kuhusu amri ya siasa mpaka 2020...viongozi upinzani wataruhusiwa kumfanyia kampeni mgombea wao...
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Tuko tayari kwa lolote
 
Kama hawatakiwi huko, waje bagamoyo mgahawani tule samaki. Huku pesa yako tuu, hafukuzwi mtu
 
Kwanza futa hiyo kauli ya"mwenye nchi" halaf usirudie tena hii kauli kwan hii nchi c ya mtu mmoja n ya watanzania,elewa hili kwanza maana mcjipe utukuf usio wenu
 
Ccm ni kitivo cha werevu toeni upuuzi wenu bavicha
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Mkuu elewa jambo hili.. "....what is poison to you is medicine to the other person...."
Ronaldo alifukuzwa man utd na kuuzwa Real Madrid under very painful moment kwa man utd fans kama ilivyotokea kwa Beckham.Ronaldo alitofautiana na Sir.Alex akitaka kufunga bao moja tu ili ampite Didier Drogba mwenye mabao sawa na yeye achukue kiatu cha dhahabu kwakuwa ubingwa tayari utd ulikuwa ni wao kwani hakuna team ingewakuta kwa point na ilikuwa mechi ya mwisho. Drogba mechi yao ya mwisho alifunga goli moja la mwisho ambalo Ronaldo pia alikuwa akilihitaji na kuwa na magoli 25 akapata kiatu cha dhahabu na kuwa top score wa epl.

Sir Alex Furguson alimtoa Christian dk ya 65, alimsub. kwa kumuingiza Carlos Tevez. Furgason alihesabu kubeba kiatu cha dhahabu ni mafanikio ya mchezaji sio team. Ilikuwa mechi btn Man utd Vs West ham Utd . Ronaldo aligoma kibao cha sub kilipoinuliwa mara 1na ya 2 lakini ya 3 alitoka na hakupeana mikono na kocha wake, alipopewa kitambaa cha kufuta jasho alikitupa hadharani na kisha hakukaa bench la wachezaji wa akiba bali alikaa juu na watazamaji huku akionyesha smile ya hasira na kutikisa kichwa kwa masikitiko.

Kwake alionekana msaliti na kufukuzwa chama chake alichokipenda tangu alipotokea Lisbon ya ureno. In 2days league kwisha alifikuzwa na kuuzwa Madrid bila ridhaa yake......Hivi sasa ndiye Mwanasoka bora wa Dunia, wa ulaya, wa laliga, wa Ureno na pia wa FIFA. Ni wazi Ronaldo amewaletea Real Madrid mafanikio makubwa hapo chamani. Je Madrid wangemkataa kwa vile ametofautiana na kocha wake? Tujifunze kwa mfano huu. sisi wote ni wanadamu siasa sio visasi.
 
Chadema haitasubiri malaika kutoka mbinguni ili kukijaza chama, ni hao hao. Angalia siasa za wenzetu Kenya, players ni wale wale
unadhani siasa za kenya ndio za kuigwa
 
Mbowe na CC msifanye makosa wachukueni wote, hao watu wanachukiwa bure ni kwa sababu Lowassa wamefikia hapa. Walimpiginia kwa nguvu zao zote bila kujali matokeo yatakayowapata.

Utakuwa MTU wa ajabu kumpokea Lowassa ukawaacha hawa. Wapokee ila usiwape uongozi wowote wa juu kabisa ili kuepuka kudilute ideology ya chama.

Tukumbuke every vote matters and counts, na watu kama Sofia Simba wanakuja na kura za ukoo wao wote, marafiki zake wa karibu na washirika wake wa karibu.
 
Napinga wazo la kuwakataza waliofukuzwa CCM kujiunga chadema.waache waje kama wamekipenda chadema . katiba ya chadema itawaongoza wakiota mapembe si yanakatwa? Wacheni uoga mtaji wa chama cha sasa ni wanachama. Hamkuona lowassa alivyowatoa jasho masisiemu kwenye uchaguzi?
 
Siasa ni mchezo wa idadi, unapofukuza wanachama, mimi ninayehitaji wanachama wapya niwakatae. Kuna waovubwengi ccm wameachwa, usitake kutuaminisha kuwa hawa waliofukuzwa ni watenda mabaya. Ccm inahubiri demokrasia lakini haifanyi demokrasia, ukiwa sisiemu ukiwa haukubaliani na mwenyekiti na kuunga mkono mtu unayemtaka ni kosa. Demokrasia si kukubaliana na kila jambo analosema mwenyekiti wako, bali kuwa huru kuamua na kufikiri upendavyo. Leo mnataka kutuaminisha yote yaliyofanywa na waliofukuzwa ni maovu hawana mema. Dhambi hii itawatafuna. Hakuna aliye mwema huko. Naona siasa za chuki.
 
Back
Top Bottom