Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

Mbowe usiwachukue walioachwa na CCM

YESU alisemaaaa pendaneni peeendani km nilivyowapenda ninyi nanyi pia mpendane
 
Kila mtu ana faida na hasara hapa duniani,hata angekuwa mtendaji wa kijiji ni wa kupokea maana anawafuasi kinachoangaliwa ni wafuasi wa mtu hata wakiwa wawili.
CDM pokea yoyote atakayekuja kujiunga na chama,Haba na haba hujaza kibaba!
CDM ni chama cha wote!
Chadema siyo chama cha wote, ni taasisi ya mtu binafsi kwa manufaa yake na familia yake
 
I bet you, naandika leo wakiwa wamefukuzwa, 90% ya waliofukuzwa watahamia chadema. Kwa waliyekuwa wanamtumikia walipokuwa ndani ya ccm.

Chadomo ndio chama cha makombo unadhani wataenda wapi?
 
Wengine hawafai ila bashe atawafaa chadema ni chuma hasa
 
Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.

Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.

Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.

Nawasilisha
Mimi pia nawashauri watakaotoka wasiende Chadema!
Mtu kama Bashe, Msukuma wakienda kwa zitto watafanikiwa sana, ni vema wakafanya hivyo!
 
Tena walioachwa ni asset si wale wachumia tumbo hewala bwana kila kitu wao naunga mkono hoja

Katibu wa Chadema anatakiwa usiku huu awe Dom na kadi za chama kuwasajili mara moja

Huwezi kususa kura kisa mtu kura si najisi mtu ndio najisi
Mtaji wa ushindi ni kura ndio maana kipindi cha uchaguzi kofia kanga t-shirt na rushwa zinahusika sana ili kununua kura
 
Bora umejisemea ni maoni yako, sababu yeye akiamua yatapita tu.

Hamna wa kumwambia kubadili anachotaka kufanya kwenye chama chake.
 
No wakiomba kujiunga hakuna shida. Wao ni watanzania na sio criminal. Watachukuliwa kama wanachama wa kawaida hakuna favor maalum. Na ikifika uchaguzi wakiwa na mtaji wasimamishwe tu.
Hawana makosa yoyote ya msingi zaidiya woga wa ccm kuwa watapinga mkuu kuwa auto candidate 2020.
Huu ni mtaji mkubwa na watakapo kuja hawatakuaja pekee yao na kundi kubwa la wapenzi wao.
This is a political jackpot
 
No wakiomba kujiunga hakuna shida. Wao ni watanzania na sio criminal. Watachukuliwa kama wanachama wa kawaida hakuna favor maalum. Na ikifika uchaguzi wakiwa na mtaji wasimamishwe tu.
Hawana makosa yoyote ya msingi zaidiya woga wa ccm kuwa watapinga mkuu kuwa auto candidate 2020.
Huu ni mtaji mkubwa na watakapo kuja hawatakuaja pekee yao na kundi kubwa la wapenzi wao.
This is a political jackpot
 
Back
Top Bottom