Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,553
- 39,514
Sisi fisi ndio tunapenda hiyo hiyo mizoga. Una jingine?Fisi aache mzoga,tangu lini ?!
Sisi fisi ndio tunapenda hiyo hiyo mizoga. Una jingine?Fisi aache mzoga,tangu lini ?!
Achana nao magamba wakishaona maji yamezidi unga wanatafuta sababuHivi wana siri gani kuwashinda waliokuwa mawaziri wakuu sumaye na lowasa? mi ingawa si mfusi wa hivi vyama vya siasa lakini naamini si wote kati yao ni makapi. kuna wanaofaa na wakaleta changamoto na hivyo kuvifanyia mageuzi vyama vya upinzani vikaimarika.
Kwa hiyo ccm wanafuga wabwia unga?Unampigia mbuzi gitaa. Hakuna atakayekusikia. Kama walimchukua mbwia bwimbwi Wema, unadhani wataacha kuwachukua hao?
Mbona waliachwa na wapinzani wanapokelewa CCM ? Acheni uzandiki kama si unafiki wa kiwango cha ibilisi !Nashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.
Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.
Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.
Nawasilisha
Chama ni watu, Mbowe wachukue walioachwa na CCM na hata walioondoka CHADEMA sasa wanataka kurejea wachukue tuNashauri cdm isiwachukue wale wote waliotemwa na ccm dodoma. Lengo ni kuepusha minyukano ya chuki Na uhasama wa kivyama. Kwakua sikuzote wajue anaewatoa Kule ndiye mwenye nchi.
Na mienendo yake sio migeni kwa upinzani.
Pia Tumeona jinsi wabunge wa chamadola walivyotoa ushirikiano Katina Sakata la bashite.
Nadhani ni vyema kuwaheshimu kwa hatua walizochukua Katika Chami Chao ili huko bungeni waendelee kunyukana ili washindwe kujua Nani hasa anawatafuna.
Mkiwachukua mnawapa sababu ya wao kuwaona kue nyie ndio masnitchi wao. Mwishowe Wataungana na kuunga mkono hoja hata za kipuuzi ili kuwakomoa.
Nawasilisha
Siasa bashe huzijui...uliza jimboni kafanya nnMhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.
Hawana uwezo wa kutuvuruga Zaidi ya kujivuruga wenyewe hata Dr. Slaa alitegemea kutuvuruga bali tupo Imara sana.Mhe. Mbowe amani iwe kwako. Fukuzafukuza inayoendelea huko Dodoma itaathiri pa kubwa sana mwenendo wa chama hicho. Tutegemee kupata makapi mengi sana kutaka kujiunga na Chadema. Nikuombe usiwapokee wanachama hao maana yatavuruga sana chama chetu. MTU pekee ambaye anatakiwa kupewa kadi endapo atafukuzwa na CCM ni Bashe. Hussein Bashe ni mtu anayejitambua nadhani kwangu Mimi kati ya wachama wa ccm wote huyu ndiyo mwenye akili timamu. Mpokee kwa mikono miwili. Usijaribu kupokea wengine waliotemwa na kamati ya CCM.
Maoni yangu.