Mbowe: Tumechoka!

Mbowe: Tumechoka!

Kwakuwa Raisi ni mkatoliki, hutosikia kiongozi yeyote wa kidini akikosoa, hutowasikia Tamwa , Tawla , haki za binadamu, wana wanasheria na wanaharakati mbalimbali wakikemea na kukosoa, Ingekuwa Raisi muislam pangekuwa hapatoshi muda huu, mara maandamano mare matamko! Missing you JK baba wa demokrasia ya ukweli Tanzania, ulimsikiliza kila mtu whether ni ccm or mpinzani!
 
Sasa Mbowe unalia lia kuwa umechoka na Kizza Besigye, atasemaji unadhani siasa ni kudeka gangamara!
 
Unajua Chadema siwaelewi mwanzo mlisema Magufuli anatekeleza sera za Chadema hata miezi sita bado mmeishaanza kuchoka daah!!..

Jk mlisema rais dhaifu hafai kaja Magufuli ambaye mnasema kainga mambo ya Chadema anafanya yake mnalia lia kuwa mmechoka daah!!.

Kwa mfano Mbowe unasema umechoka unataka Magufuli hawafanyie nini?
 
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.

Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.

Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.
Hao polis ni vyema wangewashitaki kwenye Mahakama za kimataifa The Hague ili iwe fundisho waache kutumiki na ccm kunyanyasa wapinzani .
 
Unajua Chadema siwaelewi mwanzo mlisema Magufuli anatekeleza sera za Chadema hata miezi sita bado mmeishaanza kuchoka daah!!..

Jk mlisema rais dhaifu hafai kaja Magufuli ambaye mnasema kainga mambo ya Chadema anafanya yake mnalia lia kuwa mmechoka daah!!.

Kwa mfano Mbowe unasema umechoka unataka Magufuli hawafanyie nini?
Magufuli alianza vizuri lakini ghafra kageuka na kuanza kuwa Dikteta , asipokanywa mapema lazima atakuja kuwa Kama mseven
 
Kamanda wa anga kachoka daah!!
 
Magufuli alianza vizuri lakini ghafra kageuka na kuanza kuwa Dikteta , asipokanywa mapema lazima atakuja kuwa Kama mseven
Mnamkanya vipi wakati mnasema anatekeleza sera za Chadema.
 
Mbowe amekuwa dhaifu mno, kama uongozi wa chama umemshinda aachie damu changa akina Mnyika. Kiongozi wa chama cha upinzani hatakiwi kuwa anakubali kila dhuluma anayofanyiwa na chama tawala na polisisiemu na kuishia kutoa matamko yasiyo na tija.

Itisha maandamano Mbowe, Lijualikali amekataliwa kupiga kura, huku Dar wabunge wanadhalilishwa wewe unaleta matamko yasiyo na tija. Hakuna hata tamko moja limeleta faida. If you cant beat them join them achia chama watu wa kazi
ni kweli Mkuu matamko na kulaani havisaidii kitu kwani ccm hawaogopi Laana , kitu pekee ambacho kinaweza kuwatikisa ccm ni kuwapeleka kwenye Mahakama ya kimataifa The Hague polis wote walioshiriki unyanyasaji washitakiwe na Yule mama aliyesababisha hili sakata na yeye ashitakiwe ndipo italeta haki za binadamu ,
 
Mnamkanya vipi wakati mnasema anatekeleza sera za Chadema.
sasa kawa Dikteta mkubwa hatekelezi chochote. Alianza vizuri kalewa madaraka anaenda kuiharibu kupita marais wote tokea 1961
 
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!

Kuna mambo yanaendelea yanaonyesha kabisa ni upuuzi wa kisiasa ...kilombero walikamata wabunge wa CDM matokeo yake uchaguzi ukawapa ushindi CCM...Dar wanazuga na kuzunguka tu. Tujaribu kutazama mambo bila kuegemea mitazamo ya kisiasa. Kwa haya yanayoendelea wenye akili wanasoma michezo ya kitoto ya CCM...wataharibu amani bila sababu ya msingi.
 
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.

Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.

Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.

I hope Hawa Malaya wa Kikwete Mnafiki In Chief hawatapandikiza Kitu Katika Nyumba yake ili kumtia katika mshitaka ya Uwongo, au tu Kumwaibisha! Msema Kweli Ni Mpenzi wa Mungu my foot, "Hawa Ni wapenzi wa moja na Mmoja tu, Ibilisi-Shetani" And No one in CCM is Excluded!
 
ni kweli Mkuu matamko na kulaani havisaidii kitu kwani ccm hawaogopi Laana , kitu pekee ambacho kinaweza kuwatikisa ccm ni kuwapeleka kwenye Mahakama ya kimataifa The Hague polis wote walioshiriki unyanyasaji washitakiwe na Yule mama aliyesababisha hili sakata na yeye ashitakiwe ndipo italeta haki za binadamu ,
Huko mahakani nendeni, lakini itabidi mrekebishe tabia kwanza. Muachane na uvunjaji wa sheria kwanza, Yaani mambo ya kupigana kazini, kuzomea, na kutukana matusi hadharani, which mmeisha chelewa kwa sasa, huko mtaonekana kituko na mtatolewa mbata.
 
Lowasa kawafunga wapinzani speed governor. Ndiyo maana sasa hv serikali inajiona ni ya Chama kimoja.
 
sasa kawa Dikteta mkubwa hatekelezi chochote. Alianza vizuri kalewa madaraka anaenda kuiharibu kupita marais wote tokea 1961

Alisema atawalinda liwe jua au mvua.Yuko kwa ajili ya CCM
 
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
madhara ya kulawitiwa mpaka akili,kwani kila post inayo husu upinzani lazima uchangie fani yako kuanzisha post zinazohusu makalio makubwa nenda kachangie huko
 
KWAHIYO MNATAKA KUFANYA NINI KAMA MMECHOKA.MKIJILETA TUTAWABOMOAA
 
Wapi deusi kibamba na genge lako? Au kwa kuwa ni wa dini yetu ndo hatutoi hata matamko? Wapi kijo bisimba? Wapi tamwa, taula, wapi vituo vya haki za binadamu, demokrasia inakanyagwa mko kimyaaaa! Mbona kipindi cha yule muislamu ilikuwa kama mmepakwa pilipili? Anyway endeleeni na kulindana
 
Back
Top Bottom