Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,497
- 1,341
Wawe na nidhamu huwezi kuitwa Mheshimiwa kama huwezi kutawala hasira, Mnamburuta mama wa watu-RAS wa Dar na kuchana nguo zake, Mbona huo udhalilishaji wa huyo mama hamulaani?
Magufuli si Kikwete hamna cha Juisi.
Alichokifanya ni sawa? Kudanganya kuna zuio la mahakama kubwe sio kweli, mbona anaogopa kivuli chake
