Siku nyingi sana nilisema Tz hutuwezi kuikomboa kutoka ccm, sababu moja kubwa ni kuwa 87% ya watz bado tuko kwenye ujinga wa kiwango cha juu kabisa, mantiki yake tunaendelea na evolution kwenda kuwa binadamu wa karne ya 21 na hii itachukua siyo chini ya miaka 200. Sasa kwa kuwa ccm wanaelewa vizuri hali hii ya ujinga wa watz wengi wanaitumia vizuri kwenye kila sehemu inayohitajika na napenda kutoa ushauri wa bure: Acheni kulaumu na kulaani ccm maana they are just beneficiaries of majority of Tanzanians who are ignorants. Km tunahitaji kuondoa ccm ktk kipindi cha miaka 20 ijayo ni njia ya msituni tu maana kwa njia ya sanduku la kura, licha ya kuwa hata km utashinda hutapewa, refer (Zanzibar, Arusha, Tanga na sasa Kilombero) lakini bado kuna idadi kubwa ya watz ambao bado wanaipigia kura ccm refer (idadi ya madiwani wa ccm nchi nzima na zaidi serikali za mitaa, ccm inahodhi more than 80%). Bottomline, njia ya kufikia mabadiliko ya kweli ziko mbili: 1 let's wait for evolution for several generations to come (I estimate about 200 years) to change 87% of ignorants to smart people and 2 if we want to see change happen in our lifetime msituni is the only option, hii sanaa ya uchaguzi ni sawa na njia ya kwanza, kwa hiyo in absence of second option, uchaguzi uwepo usiwepo itatuchukua njia ya kwanza