Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 5,949
- 4,815
WE NI KADA FEKI
Umejipandikiza ukada ili upenyeze sumu yako kirahisi.mtiririko wa matamshi yako unadhihirisha wazi wazi.
Umejipandikiza ukada ili upenyeze sumu yako kirahisi.mtiririko wa matamshi yako unadhihirisha wazi wazi.
Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?