Mbowe: Tumechoka!

Mbowe: Tumechoka!

Mbowe amekuwa dhaifu mno, kama uongozi wa chama umemshinda aachie damu changa akina Mnyika. Kiongozi wa chama cha upinzani hatakiwi kuwa anakubali kila dhuluma anayofanyiwa na chama tawala na polisisiemu na kuishia kutoa matamko yasiyo na tija.

Itisha maandamano Mbowe, Lijualikali amekataliwa kupiga kura, huku Dar wabunge wanadhalilishwa wewe unaleta matamko yasiyo na tija. Hakuna hata tamko moja limeleta faida. If you cant beat them join them achia chama watu wa kazi

Unakosea sana kumlaumu Mbowe. Yeye alishauza chama na kuchukua chake. Mlaumuni Lowassa.
 
Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?

Binafsi sioni haja Ya JPM kuanza kuongea na vitoto. Mwacheni Afanye kazi aliyoomba upuuzi mwingine kama huu autupilie mbali.
 
Unakosea sana kumlaumu Mbowe. Yeye alishauza chama na kuchukua chake. Mlaumuni Lowassa.
Kuna wimbo Mmoja aliwahi kuimba Jaydee "kila upande mnafiki, siku zinaeeeeeeeenda, mnakula Kunywa Na kuvaaa siku zinaeeeenda!"
 
Kama kachoka aingize Kwato yeye mwenyewe au vurugu zianzie Moshi ths time, haiwezakn Miaka yote Kilimanjaro kuwe tulivu wanaendelea na shughuli za maendeleo fujo waje kuchochea kwny miji ya wenzao, kama tatizo ni Ccm hata moshi Iko chini ya serikal ya ccm
 
Unakosea sana kumlaumu Mbowe. Yeye alishauza chama na kuchukua chake. Mlaumuni Lowassa.
Yeye ndio mwenyekiti wa chama Lowassa ni mwanachama wa kawaida ila ana legacy kubwa kwenye siasa za Bongo. Hata mkurupukaji wa magogoni anajua.

Mbowe anatakiwa kuonyesha leadership kwa kuturuhusu wapiga kura tulioikataa CCM kuingia mtaani kuonyesha hisia zetu
 
Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Mahumu ni madudu gani
 
ila ipo cku mafisi em yatakuja kujutaa mana y? kila cku chama kimomja tu ndo wabunge wake wanafungwa? Mungu wabariki wana ukawaaaaaaaa
 
Kwa hiyo kama amechoka sisi tufanye nini sasa? Mwambie aende Dubai likizo kupumzika! Halafu pia mwambie awaache Askari wetu wafanye kazi yao, Askari wetu wana uwezo wa kuingia popote pale ndani ya ardhi ya TanZania hivyo hata yeye Mbowe pia ajitayarishe tu siku wakimpigia hodi atoe ushirikiano!
Tuliwasaidia wengi kusini mwa Africa kujikomboa kutoka manyanyaso hayo. Pata nafasi ya kujisomea historia, itakusaidia utaacha kushabikia matendo yaleyale.
 
Makada tuwe waungwana japo kwa muda mfupi. Kikwete alikuwa mwepesi sana wa kuzungumza pindi ishu kama hizi zinapojitokeza. Tukamuona punguwani na dhaifu. Sasa tunaanza kulia ia ili rais aingilie. Sasa ujinga tufanye sisi tumlaumu Rais wetu? Kwa lipi?
Ukiwa CCM akili yote inatoa nani analilia hapo??
 
Kama amechoka bora anyamaze au ahame nchi lasivyo akileta fyokofyoko atatandikwa kama wenzie....!
 
Sasa kama Mwenyekiti wetu anaishia kulalamika, sisi mashabiki tutafanyaje? Haya ndo madhara ya chama chetu kuongozwa na mtu ambaye hajapevuka kisiasa. Bora Mwenyekiti awe Lowasa, mzee wa maamuzi mahumu
Hahahaha bora chama epewe joshua Nassary....
 
Yeye ndio mwenyekiti wa chama Lowassa ni mwanachama wa kawaida ila ana legacy kubwa kwenye siasa za Bongo. Hata mkurupukaji wa magogoni anajua.

Mbowe anatakiwa kuonyesha leadership kwa kuturuhusu wapiga kura tulioikataa CCM kuingia mtaani kuonyesha hisia zetu
mtaagani nakupatia mapacha nikukutana na ww kwenye mtaaa lazima ujifungue tena njiti
 
Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA,Freeman Mbowe amesema chama chake kimechoshwa na kukamatwa kwa Wabunge wake kwa hila za kisiasa. Akihojiwa na ITV,Mbowe amesema chama chake kinalaani kukamatwa na kudhalilishwa kwa Wabunge wake.

Mbowe amesema chama chake kinalaani hila zote na kuitaka Serikali itende haki hasa kwenye uchaguzi wa Meya wa Dar es Salaam. Leo nyumba ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee imekaguliwa na polisi wanaosemwa kuwa walikuwa wakisaka nyaraka.

Mbunge Mdee amedai kuwa Mbunge wa Ukonga,Mwita Mwakwabe amekamatwa na polisi. Pia,Mbunge Lijualikali wa Kilombero amekamatwa na polisi.

Siku nyingi sana nilisema Tz hutuwezi kuikomboa kutoka ccm, sababu moja kubwa ni kuwa 87% ya watz bado tuko kwenye ujinga wa kiwango cha juu kabisa, mantiki yake tunaendelea na evolution kwenda kuwa binadamu wa karne ya 21 na hii itachukua siyo chini ya miaka 200. Sasa kwa kuwa ccm wanaelewa vizuri hali hii ya ujinga wa watz wengi wanaitumia vizuri kwenye kila sehemu inayohitajika na napenda kutoa ushauri wa bure: Acheni kulaumu na kulaani ccm maana they are just beneficiaries of majority of Tanzanians who are ignorants. Km tunahitaji kuondoa ccm ktk kipindi cha miaka 20 ijayo ni njia ya msituni tu maana kwa njia ya sanduku la kura, licha ya kuwa hata km utashinda hutapewa, refer (Zanzibar, Arusha, Tanga na sasa Kilombero) lakini bado kuna idadi kubwa ya watz ambao bado wanaipigia kura ccm refer (idadi ya madiwani wa ccm nchi nzima na zaidi serikali za mitaa, ccm inahodhi more than 80%). Bottomline, njia ya kufikia mabadiliko ya kweli ziko mbili: 1 let's wait for evolution for several generations to come (I estimate about 200 years) to change 87% of ignorants to smart people and 2 if we want to see change happen in our lifetime msituni is the only option, hii sanaa ya uchaguzi ni sawa na njia ya kwanza, kwa hiyo in absence of second option, uchaguzi uwepo usiwepo itatuchukua njia ya kwanza
 
Back
Top Bottom