mbowe soma hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbowe soma hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nyabhingi, May 18, 2011.

 1. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  baada ya kukiri kwa CDM kwamba wamenunua malori ya mbowe kwa kulipa deni kidogokidogo bila riba inawezekana ikaonekana kama mbowe ameisaidia chadema,lakini mimi naona kuna mgongano wa maslahi,mwenyekiti wa chama anakiuzia chama malori yake!inawezekana mbowe kayatoa kwa roho safi labda na kwa bei ya hasara lakini kisiasa unakuwa umewapa wapinzani wako silaha ya kukuandama,..CDM wawe wanafikiria kwa undani zaidi kabla ya kuamua jambo no matter how good intentions are,kwa swala hili la malori sijui nani awajibike?mbowe au walioshauri kuyanunua..lakini naye mbowe angekataa kukiuzia chama...kwa mtazamo wangu,naona mbowe akabidhi uenyekiti kwa mtu mwingine na hii haimaanishi mbowe ni fisadi..huu ni mtazamo wangu labda kama silielewi hili sakata vizuri nieleweshwe.,taarifa ya chadema ya kukiri kununua malori imechapishwa gazeti la mwanahalisi..
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  aisee yule dr slaa ndiye awe mwenyekiti,mbowe hana matatizo kwanza natoka naye kijiji kimoja,lakini slaa ana kitu ambacho anaweza kuwafanyia watanzania katika process nzima ya mabadiliko,nahisi slaa ni kiongozi mwenye uwezo
   
 3. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  hueleweki
   
 4. Mkimbizi

  Mkimbizi JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Title yako inakosa heshima. Tutajua ukweli maana naamini CDM ni chama makini. Heshima iongeze kwa viongozi.
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  bora ungeomba tu email ya mbowe ukamwandikia barua-pepe.
   
 6. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dr. Slaa ni kichwa kweli kweli. Mh. Mbowe, pima mwenyewe aidha faida juu ya malori yako au poleploe utoteze umaarufu.........
   
 7. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  maandamano unasema sieleweki?umetumwa?
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,902
  Likes Received: 5,364
  Trophy Points: 280
  sasa kutoka kijiji kimoja na mbowe ndio kunamfanya awe mtu safi?wote tunampenda mbowe kwa upambanaji wake lakini anapokosea au tunapohisi amekosea lazima tueleze hisia zetu,.unaposema nimetumwa unamaanisha nini?usidandie maneno wanayotumia watu humu jamvini we mwanarombo,..talk sensible stuff,constructive one,we at war fool!!!
   
 9. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ngoja.nenda taratibu,sijaona mahali umesema mbowe ni fisadi
   
 10. l

  lyimoc Senior Member

  #10
  May 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama hamna hoja za maana simkae kimya hameleweki tatizo
   
 11. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Mimi nashindwa kuelewa tatizo ni nini katika kununua malori ya Mbowe. Hilo ni jambo la kawaida kabisa kama kiongozi ama mfanyakazi wa organisation yoyote unataka kufanya biashara na mwajiri wako, unachtakiwa kufanya ni ku-declare conflict of inteest. Kama mwajiri wako ataona baada ya ku-declare organisation itanufaika na hiyo deal, kamati inapitrisha na deal inafanyika. Shida ingekuwa kama Mbowe angeuzia Chadema molori kwa ujanja na bila kufahamika kuwa ndiye mwenye mali halafu ukweli ukagundulika. Hapo tungemfukuza, lakini maadam CDM wenyewe ndio waliomuomba hakuna shida. Sasa nimeambiwa kuwa malori hayo yapo kwenye harakati za uhuru wa pili wa taifa letu. CDM mwendo mdundo, msisikilize hizo porojo za chama cha magamba ambacho kimeshachoka na kuchakaa, na sasa hakiuziki tena.
   
 12. M

  Marytina JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hujui nini majukumu ya mwenyekiti na Katibu Mkuu wa Chama/taasisi
  rudi shule au VETA
   
Loading...