Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

Kwanza andikeni katiba inayotokana na wanachama, sio katiba ya kukidhi mahitaji ya Mtei.

Mtei alimuandaa binti yake Lilian kuwa Mwenyekiti wa Chadema baada ya Mbowe. Binti huyo alipokataa ikabidi Mtei aagize kipengele cha kuweka ukomo wa mihula ya uongozi kiondolewe ili Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti.

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai.
CCM kamwe haiwezi kutuelekeza nini cha kufanya kamwe hamtatuchagulia viongozi, badala ya kujenga chama chenu na kutekeleza ilani yenu kutwa mnangojea Chadema kife, huo ni upuuzi wenu na viongozi wenu hatuwezi kuwasaidia.

Nasema Chadema inaongozwa kwa katiba iliyopo ambayo ililidhiwa na mkutano mkuu baada ya kupendekezwa na baraza kuu, kama kuna mtu aliingia Chadema bila kuisoma na leo anaona haimfai anaruhusa ya kuondoka.
 
Mleta mada anajitahidi kupulizia pafyumu kwenye kinyesi, ngoja tuone km hakitanuka

Bora kenyesi cha cdm kuliko vinyesi vya kina komba na maccm kwa ujumla wenu maana hata kama utamwaga boza la perfyum ni sawa na bure
 
Hata jeneza na sanduku la maiti hunakshiwa kwa pambo zote za kuvutia lakini huwa haliondoi ukweli kuwa ndani kuna maiti

Huna hata aibu mnajisema wenyewe....mtabadilisha sana sanda ila maiti iliyomo ndani yake tunaijua vilivyo, kwenye paji la uso kuna ki dot cha rangi ya kijani
 
attachment.php
 
Ni mapambano baina Chadema Kanda ya Ziwa Vs Chadema Moshi-Arusha
 
Salaam wana janvi?

Kunamekuwepo na majibizano mengi ndani ya mitandao ya kijamii kuhusiana na uchaguzi ndani ya chama cha maendeleo na demokrasia (chadema) wengi wa wachangiaji wakidai ni vyema kufanya uchaguzi kwa sasa na wengine wakisema ni bora tubadilishe uongozi wa juu hasa wanachama wa chama cha mapinduzi (ccm) ndiyo wanaopigia kelele swala hili.

Ukiangalia kwa undani na kwa jicho pevu utagundua kuwa kuna mapinduzi baridi yanayotaka kufanywa na viongozi ndani ya chadema kwa maelekezo toka ccm ili kuuondoka uongozo wa ngazi ya taifa hasa slaa na mh mbowe, hawa ndiyo target kubwa kwani watu hawa wamekosanishwa kwa njia tofauti ila bado wamesimama imara, na hii imepelekea ccm kutumia kila aibu ya umafia kuwatoa hawa watu hapo walipo ili waweke viongoizi laini (soft leader) watakao fanya kazi kwa maelekezo ya ccm.

Sisi wanachama wa cdm hatutaki uchaguzi ndani ya chama ufanyike leo wala kesho bali ufanyike baada ya uchaguzi mkuu 2015 chakushangaza mashabiki na wanachama wa ccm wanataka chadema ifanye uchaguzi wa ndani na tena mh mbowe na slaa wasiogombee kwani vipindi vyao vimekwisha, hii sio tabia nzuri, cdm haiwezi kuwa sawa na ccm, nyie kama mnafanya uchaguzi wenu kila baada ya miezi 6 acha iwe hivyo kwenu ila kwa cdm haiko hivyo na hatutaki kufanana na ccm hata kiutendaji au kiuendeshaji wa taasisi hii.

Endapo uchaguzi utafanyika kwa sasa kuna hatari kubwa ya ccm kuingiza masalia yake ndani ya cdm, ambayo kwa sasa yameanza kujitokeza tena, nakiomba sana chama changu pendwa kisikie kilio chetu sisi wanachama hai kuwa hatutaki uchaguzi ndani ya chama chetu kwa sasa bali ufanyike mwaka 2015.

Mbowe, dr slaa, zitto tuvusheni salama na kama tutafika salama bs mtapumzika wakuu zetu tofauti na hapo mtatupoteza, mpeni zito kijiti baada ya uchaguzi wa 2014/15, tunataka tumtathimini kupitia chaguzi zote ili tumpe chama kikiwa kamili na sio vipande vipande kama wanavyotaka wanachama wa ccm:

Shabiki, mwanachama wa cdm pls paza sauti isikike kwa viongozi wetu hawa

Binadamu ni kiumbe kisahaulifu sana, nakumbuka wakati wa uchaguzi wa CCM, CHADEMA ndiyo walikuwa wazungumzaji wakuu wa matukio yaliyokuwa yakitokea DODOMA, tena wakaenda mabli na kusema CCM yagawanyika vipande vipande, leo badala ya kukaa na kutafakari tuhuma dhidi ya viongozi wao, wanaanza kusema CCM inahusika, kama aliyoyaandika MWIGAMBA ni sahihi, kuna tatizo gani CCM wakiyazungumzia kama ilivyokuwa CHADEMA wakati wa uchaguzi wa CCM? tabia hii ya kujenga ukuta ili MBOWE na SLAA wasiguswe ni hatari sana kwa mstakabali wa CHADEMA. Kama kweli wana-CDM wanataka mabadiliko ya uongozi kweli kulazimisha SLAA na MBOWE kuendelea mpaka baada ya 2015 kunaweza kukivusha salama chama au ndo kutakibomoa zaidi. CHADEMA kaeni mtafakari kwa kina kuliko kukumpatia ushabiki wa humu mitandaoni, hakika utawaponza huko mbeleni.
 
Huna hata aibu mnajisema wenyewe....mtabadilisha sana sanda ila maiti iliyomo ndani yake tunaijua vilivyo, kwenye paji la uso kuna ki dot cha rangi ya kijani

Zle nakala ya Katiba ya CHADEMA ya 2004 na ile ya 2006 zilizowekwa hapa jamvini na Chabruma zina ukweli au ni uongo? mbona hamzitolei ufafanuzi? nilimuona SLAA usiku wa kuamkia leo kachungulia tu na kuondoka bila comment yoyote.
 
haisadii mkuu, hawa wanapelekwa tu kama mazuzu, wanaojua ukweli kama akina ZITTO na MWIGAMBA ndiyo watakaowazindua kutoka usingizini.
Hao ni misukule.Inawashinda hata hesabu ndogo chama hakina ofisi lakini chopa muda wote iko angani kama kunguru.

Ni mapambano baina Chadema Kanda ya Ziwa Vs Chadema Moshi-Arusha

Lake zone: MWIGAMBA yuko golini, SHIBUDA anapiga center foward, ZTTO anamaliza, patamu hapo.
North zone: MBOWE yuko golini, SLAA anapiga center forward, LEMA anamaliza.

kesho nitawaletea timu ya udini, zitafuata timu za wasomi na wasio na shule.
 
Binadamu ni kiumbe kisahaulifu sana, nakumbuka wakati wa uchaguzi wa CCM, CHADEMA ndiyo walikuwa wazungumzaji wakuu wa matukio yaliyokuwa yakitokea DODOMA, tena wakaenda mabli na kusema CCM yagawanyika vipande vipande, leo badala ya kukaa na kutafakari tuhuma dhidi ya viongozi wao, wanaanza kusema CCM inahusika, kama aliyoyaandika MWIGAMBA ni sahihi, kuna tatizo gani CCM wakiyazungumzia kama ilivyokuwa CHADEMA wakati wa uchaguzi wa CCM? tabia hii ya kujenga ukuta ili MBOWE na SLAA wasiguswe ni hatari sana kwa mstakabali wa CHADEMA. Kama kweli wana-CDM wanataka mabadiliko ya uongozi kweli kulazimisha SLAA na MBOWE kuendelea mpaka baada ya 2015 kunaweza kukivusha salama chama au ndo kutakibomoa zaidi. CHADEMA kaeni mtafakari kwa kina kuliko kukumpatia ushabiki wa humu mitandaoni, hakika utawaponza huko mbeleni.

ccm inaongoza serikali iliyopo madarakani,ndiyo maana inapotokea tatizo iwe ndani ya ccm au nje ya ccm lazima chadema kiseme maana cdm ndiyo watch dog wenu mkubali makatae,ila swala la kuingilia uchaguzi wa ndani wa chama hilo imekula kwenu mazima,kwani hamtafanikiwa daima milele amina,mlizoea vya kunyonga,kwa cdm mmenoa"hakuna uchaguzi hapa,mpaka 2015 baada ya uchaguzi mkuu,kajipangani upya tena kwa style hii chama hakifi
 
Umesha sema yote mimi sina kuongeza kwa sasa .Hakuna Uchaguzi ndani ya Chadema hadi mwaka 2015 viongozi hawa watuvushe hapa na wengine wazuri ndani ya Chadema watakuja baada ya Uchaguzi mkuu .
Wengine watatoka wapi wakati wa kanda ya ziwa hawatakiwi?

Wengine watatoka wapi wakati wa kanda ya ziwa hawatakiwi?

Tuonaotoka kanda ya ziwa hatulalamiki ila wewe chichi dodo ndiyo uenatusemea? rukeni sarakasi zenu zote ila mkitua chini mnakutana na neno"hakuna uchaguzi hapa,mpaka 2015" hatuwezi kubadilisha kaptn wa meli kisa kuna mawimbi makubwa baharini,acha watuendeshe hawa hawa makptn wetu na msaidizi wao,maana wanauzoefu na haya mawimbi kwa mda sasa
 
Back
Top Bottom