Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

Tuko pamoja mkuu, hakuna uchaguzi hadi tuvuke salama uchaguzi wa 2015,

hatuwezi kubadili rubani tungali angani, hata kama ndege ikitua hatuwezi kumpa mtu asiye na uzoefu wala kuaminika.
 
Ni kweli kupitia chadema chini ya Mowe,Slaa na Zitto watanzani wamepata elimu kubwa sana pamoja na kujua haki zao za msingi, huko nyuma watanzani walikuwa wanaamini umaskini walio nao ni mpango wa Mungu.
Siku hizi kiongozi anahojiwa hadharani bila woga kama huna majibu ya kuridhisha unazomewa mbele ya hadhara tofauti na zamani.

kazi yao ni ya kuenziwa japo makosa madogomadogo hayawezi kukosekana lakini hayawezi kufunika mazuri waliyoyafanya.!!
 
Ni Mwendawazimu pekee anayeweza kufikiria kuweka viongozi wengine kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015
 
- ha! ha! ha! ni kweli mmefikishwa hapa kwenye kujiunga na chama cha mashoga, kupigana bungeni na kufukuzwa na polisi bungeni, kuwapiga waio na mawazo kama yenu ni kweli mmefikishwa hapa na hao Viongozi wasio na upeo, miaka 25 ya kuwepo kwenu wabunge 46 tu ndipo mlipofikishwa na viongozi wawili mmoja analipwa Shillingi Millioni 120 kwa mwaka na mwingine ana majumba ya ajabu Dubai, South Afrcia na USA,

- Upo sawa sawa waliokufikisha hapo no hao hao uliowataja ial hukusema mapungufu yao ambayo ni mkubwa sana kuliko mazuri yao, huwezi kuwa kiongozi thabiti wa Chama kikuu cha upinzani siku moja ukaita CUF mashoga kesho yake ukajiunga nao na bado kuna wananchama wanakusifia kwamba umewafikisha pazuri, Mungu atawasamehe tu maana hamjui muyasemayo!!

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!1

LE Mutuz
I can't see anything in it than vacuum.
 
Nimekosa maneno mazuri ya tumia ili kuwaenzi viongozi wangu wakuu wa chama(Dr wilbrod Slaa na kamanda freeman Mbowe.
Tangu kuanza kwa vuguvugu la uchaguzi wa ndani ya chama kila mwenye jambo analofikiri liko sahihi(kwa mtazamo wake ambao nami sipingani nao) amekuwa akilitupa hapa ili wadau wachangie kwa kutoa mawazo yao.

Wengi wao(ambao siamini sana kama ni wanachama halisi wa CDM) wamekuwa wakitoa malalamiko na kashfa kedekede kuwatuhumu Mh Freeman Mbowe( mbunge wa hai pia mwenyekiti wa kambi rasmi ya upinzani bungeni) pamoja na Dr wilbrod Slaa( katibu mkuu wa CDM, ambayo pia namwombea kwa Mungu maisha marefu awe ndie mgombea urais 2015-pendekezo langu).

Tuhuma hizi kimantiki zinaonekana zinafanywa na watu waliotumwa na watu fulani ambao either wako ndani ya chama kwa maslahi yao ama wametumwa na watu walio nje ya chama kwa kuhofia nguvu walizonazo viongozi hawa pamoja na misimamo yao mikali juu ya kukemea maovu yanayofanywa na baadhi ya vigogo na wanasiasa wakubwa wa nchi hii.

Siko vizuri sana katika historia lakini kumbukumbu zangu zinajaribu kunirudisha nyuma na kuangalia idadi ya vyama vilivyowahi kuanzishwa tangu kuanza kwa vyama vingi vya siasa nchini(1992) na vyama vilivyobaki huku vikiwa na nguvu na mvuto mkubwa mbele wa wananchi.

Sababu kuu ya kupotelea hewani kwa vyama hivi ni pamoja na kutokuwa na viongozi makini na wasio na misimamo thabiti juu ya mambo wanayoyaamini. pamoja na sababu hii lakini ipo nyinginge ambayo ni ya kusadikika tu mwamba vingi vilianzishwa na chama tawala ilikupunguza nguvu ya upinzani hasa nyakati za chaguzi sababu iliyopelekea vipotee ghafla baada ya chaguzi kuu kupita.

Tanzania imeonekana kufika hapa kwasababu ya KIONGOZI MKUU WA NCHI ambaye ndiye msimamizi wa shughuli zote zinaohusu maendeleo ya watanzania.

CHADEMA hatuwezi kusita wala kumung'unya maneno kwamba uimara wa chama ni kwa sababu ya misingi imara iliyojengwa na viongozi wetu ambao ndio wanakiongoza chama kitaifa na anayesita kuyasema haya ana chuki za kwake binafsi ambazo hatuwezi kuziondoa sisi kama binadamu wa kawaida labda mpaka Mwenyezi Mungu aingilie kati. Rais wa nchi alipokuwa akiwatahadhalisha wanachama wake juu ya kung'oka mwaka 2015 hakuwa anamaanisha kung'olewa na chama kingine chochote bali hofu yake aliyokuwa nayo juu ya CDM ambayo viongozi wake wameonyesha kuwa na msimamo mkali sana hivyo haoni namna ya kuwatisha wala kuwarubuni.

Safari yetu bado ni ngumu na tunahitaji viongozi wanaoendana na ugumu wa safari hii(pamoja na uzoefu wa kuongoza) na baada ya kuvuka kipindi hiki ambacho watanzania wengi wanategemea kubadilika kwa historia ya Tanzania yeyote anayedhani anaweza kushika nafasi yoyote anaweza kufanya maamuzi hayo lakini kwa sasa barabara bado ni mbovu tunahofia gari kupindukia njiani..

DR SLAA, FREEMAN MBOWE ARE CUSTODIANS OF POLITICAL SUCCESS
AHSANTE Bila SLAA sijui tungekuwa wapi
 
Tuonaotoka kanda ya ziwa hatulalamiki ila wewe chichi dodo ndiyo uenatusemea? rukeni sarakasi zenu zote ila mkitua chini mnakutana na neno"hakuna uchaguzi hapa,mpaka 2015" hatuwezi kubadilisha kaptn wa meli kisa kuna mawimbi makubwa baharini,acha watuendeshe hawa hawa makptn wetu na msaidizi wao,maana wanauzoefu na haya mawimbi kwa mda sasa
Chacha Wangwe, Amani Kabouru, Zitto Kabwe, Mwigamba, Mkosamali, Kafulila, Shitalamba, Shibuda wote ni wa kanda ya Ziwa wamenyanyasika sana.

Chacha Wangwe, Amani Kabouru, Zitto Kabwe, Mwigamba, Mkosamali, Kafulila, Shitalamba, Shibuda wote ni wa kanda ya Ziwa wamenyanyasika sana.

tupe ushahidi kamili wa hizo tuhuma zako,tatizo mmejawa na ukabila plus udini ila sisi huku kanda ya ziwa hatuna ushamba huo
 
Aliyeleta uzi huu hapana shaka kwamba si mwanachadema wala muumuni wa demokrasia. Mwanachadema yeyote anajua kwamba tunaongozwa na Katiba ya chama ambayo inatutaka kufanya uchaguzi wa viongozi kila baada ya miaka mitano (5).

Katiba yetu ipo kwa msajiri wa vyama vyama siasa nchini ambae pia ndo msimamizi wetu wetu. Hivyo kutokufanya uchaguzi kwa wakati muafaka kutapelekea chama kufutwa. to be deregistered.

Kwasababu hiyo umenishawishi niamini kama wewe si mwenzetu,unaejifanya mwanachadema mchana huku usiku unaenda kupokea buku7.

Haya kawambie hatujalala, na hatuna mpango.
 
Hilo unaloliongea linawezekana kama mazingira na kila kitu kiko sawa.Huwezi anza kuongelea habari za uongozi wakati hali iko tetenamna hii."one step at a time"

What do you mean by mazingira na.kila kitu kiko sawa???!!!

Kwani nini hakiko sawa???!!! Kuna janga gani hapo lililowashtukiza off-guard????!!!

Naongelea mfumo ulio wazi wa kuandaa viongozi ili kuondokana na hoja nyepesi za flani ndio muafaka zaid kwa sababu hizi na zile! !!!!!

Muda wa maneno unaelekea ukingoni systems must be established and work
 
Mazigira nayoongelea sasa, ni haya ambayo kuna mapandikizi mengi ndani ya chama kwa sasa,na hali ya hatari imeishatangazwa na CCM kwamba CDM lazima ife.Wewe unadhanini sahihi kwa sasa kuitisha uchaguzi?Najua kuna watu wakiachiwa uongozi CDM itaendelea. Na ndio maana hata wafanyakazi wanaostaafu,kama tunaona mfumo haujakaa vizuri huongezewa walau muda kidogo,ili Transition period iwe smooth.
 
Hata kama uchaguzi utafanyika leo.CHADEMA hakitaweza kuongozwa kqlwa Maelekezo kutoka Lumumba au Ikulu.

Hakuna kibaraka wa CCM atakayeongoza CHADEMA

Kuliko CHADEMA kiongozwe na mamluki ni bora CCM kiendelee kuongoza na nitakua wa kwanza kujitoa

Kama CCM wana watu wanaowataka wachukue uongozi ndani ya CHADEMA basi wawachukue wakagombee huko CCM.Hakuna kuendekeza wanafiki na wasaliti ambao Mwenyekiti aliwaonya juzi

Infact ningejiskia ashamed sana kama mpinzani ninapoona CCM ndio wanaonipigia kampeni na kunisifia.Ni aibu

Fisi anamshauri mbuzi jinsi ya kuilinda familia yake?It's a tricky affair!

NB:Uongozi wa CHADEMA sio wa kupewa bali ni kuomba ridhaa kwa wapiga kura ambao ni wanachama

Asipogombea Mbowe anaweza kuwa yeyote.Kuna Lissu,Mnyika na wengineo.No silver plate....

duhh mbona km unamlenga ZITTO KABWE?? Kwani ZITTO katumwa na Ikulu??
 
Ccm wanajipongeza kuwa mwakani lazima wasambaratishe chadema ...

Ukiangalia kila mara ukikaribia uchaguzi kwenye wapinzani lazima utokee mgogoro
 
Mazigira nayoongelea sasa, ni haya ambayo kuna mapandikizi mengi ndani ya chama kwa sasa,na hali ya hatari imeishatangazwa na CCM kwamba CDM lazima ife.Wewe unadhanini sahihi kwa sasa kuitisha uchaguzi?Najua kuna watu wakiachiwa uongozi CDM itaendelea. Na ndio maana hata wafanyakazi wanaostaafu,kama tunaona mfumo haujakaa vizuri huongezewa walau muda kidogo,ili Transition period iwe smooth.

Mfumo hutengenezwa,hauzaliwi kwa hiyo hauwezi kukaa vizuri bila ya kuandaliwa na kuwekwa vizuri na ni.jukumu la viongozi kuuweka huu mfumo vizuri,muda wote huu walikuwa hawajui hioi suala la mfumo???!!!! Unataka kuniambia ni aiana ya watu wasiojiandaa na njaa ya kesho sababu leo kashiba????!!!!

Kati ya hayo mapandikizi ni akina nani na wana adimre uongozi na wamejiunga na chama lini???!! Walijiunga kwa njia ya voda fasta pale jukwaani????!!Ilikiwaje mpaka leo hii waachwe na sasa uchaguzi unakaribia ndio hii lugha inazungumzwa????!!! Sasa kama ndani kupata viongozi inakuwa ngumu je nchi ikiwa mikononi mwao viongozi wa kuunda serikali watatoka wapi na tunajua adha ya mwenyekiti kuwa rais???!!!!

Hivi unaposema imetangazwa kuwa chama lazima kife,hujawahi kisikia adui yako muombee njaa???!! Kwa hiyo isingetangzwa ulikuwa unafikiri opposition is that smooth????!!! Kwamba mpaka itamkwe ndio wahusika waamke???!!!

Mbona kama hutaki kuwapa wahusika majukumu yao na unabaki kulaumu situation tu???!!! As if ni mvua ya ghafla????!!!!

Bila ya viongozi kuambiwa ukweli hatutopata yale yanayotarajiwa na wengi. Mifumo ya kuandaa viongozi wa baadaye inabidi iwekwe wazi na ionekane ikifanya kazi huiu ikizingatiwa hayo unayoyaita mazingira na matamko ya wengine. Habari ya tutajua jinsi ya kuvuka mto pindi tutakapo ukuta hayafai tena!!!!!
 
Hakutakuwa na uchaguzi CHADEMA mpaka 2015, huu ndio msimamo wa wengi tunaomba uheshimiwe.
 
Hata kama uchaguzi utafanyika leo.CHADEMA hakitaweza kuongozwa kqlwa Maelekezo kutoka Lumumba au Ikulu.

Hakuna kibaraka wa CCM atakayeongoza CHADEMA

Kuliko CHADEMA kiongozwe na mamluki ni bora CCM kiendelee kuongoza na nitakua wa kwanza kujitoa

Kama CCM wana watu wanaowataka wachukue uongozi ndani ya CHADEMA basi wawachukue wakagombee huko CCM.Hakuna kuendekeza wanafiki na wasaliti ambao Mwenyekiti aliwaonya juzi

Infact ningejiskia ashamed sana kama mpinzani ninapoona CCM ndio wanaonipigia kampeni na kunisifia.Ni aibu

Fisi anamshauri mbuzi jinsi ya kuilinda familia yake?It's a tricky affair!

NB:Uongozi wa CHADEMA sio wa kupewa bali ni kuomba ridhaa kwa wapiga kura ambao ni wanachama

Asipogombea Mbowe anaweza kuwa yeyote.Kuna Lissu,Mnyika na wengineo.No silver plate....

Mnaonyesha dhahiri ni jinsi gani hiyo saccos ipo kwa ajili ya matumbo yenu na sio taifa..na mwenye manufaa kwenu ni yule tu mnayedhani anaweka masilahi yenu mbele na si ya taifa zima.

sijui ni nani anawapotosha kuwa watanzania wote ni wanachama wa vyama vya siasa.

Mnaumia kuona mtu wenu anaungwa mkono watu walio nje ya chadomo.....Acheni kuendeshwa kwa hisia, lazima muelewe kuwa yeyote atakayefanya kazi yake kwa uadilifu na uzalendo atapata wafuasi tu iwe ni kutoka kwenye saccos yenu, kwa wapinzani wenu na hata wanainchi wengine wasio na itikadi za vyama.......kizuri hakijifichi.

Ni akili finyu sana kumchukia mtu eti kwa sababu anaungwa mkono na walio wengi kana kwamba hilo ni kosa lake binafsi....UJINGA.

Msitumie mwavuli wa "mamluki" kumkosesha mtu haki yake ya kidemokrasia...wenye akili tunajua kinachoendelea......hivyo vyote ni visingizio na kuhalalisha madudu....shame on you.
 
Mfumo hutengenezwa,hauzaliwi kwa hiyo hauwezi kukaa vizuri bila ya kuandaliwa na kuwekwa vizuri na ni.jukumu la viongozi kuuweka huu mfumo vizuri,muda wote huu walikuwa hawajui hioi suala la mfumo???!!!! Unataka kuniambia ni aiana ya watu wasiojiandaa na njaa ya kesho sababu leo kashiba????!!!!

Kati ya hayo mapandikizi ni akina nani na wana adimre uongozi na wamejiunga na chama lini???!! Walijiunga kwa njia ya voda fasta pale jukwaani????!!Ilikiwaje mpaka leo hii waachwe na sasa uchaguzi unakaribia ndio hii lugha inazungumzwa????!!! Sasa kama ndani kupata viongozi inakuwa ngumu je nchi ikiwa mikononi mwao viongozi wa kuunda serikali watatoka wapi na tunajua adha ya mwenyekiti kuwa rais???!!!!

Hivi unaposema imetangazwa kuwa chama lazima kife,hujawahi kisikia adui yako muombee njaa???!! Kwa hiyo isingetangzwa ulikuwa unafikiri opposition is that smooth????!!! Kwamba mpaka itamkwe ndio wahusika waamke???!!!

Mbona kama hutaki kuwapa wahusika majukumu yao na unabaki kulaumu situation tu???!!! As if ni mvua ya ghafla????!!!!

Bila ya viongozi kuambiwa ukweli hatutopata yale yanayotarajiwa na wengi. Mifumo ya kuandaa viongozi wa baadaye inabidi iwekwe wazi na ionekane ikifanya kazi huiu ikizingatiwa hayo unayoyaita mazingira na matamko ya wengine. Habari ya tutajua jinsi ya kuvuka mto pindi tutakapo ukuta hayafai tena!!!!!

Una amini kuwa mfumo huharibiwa pia, hata kama kila kitu kilikua in place?
 
Ndugu zangu,

Kwa muda sasa tumesikia malumbano makali ndani ya CHADEMA hali ambayo si nzuri kwa afya ya siasa za Tanzania na mageuzi ya kiuongozi na kimfumo tarajiwa.

Lakini pia hali hii si nzuri wa ajira za watu wengi tu ndani na nje ya
CHADEMA. Kuimarika kwa CHADEMA kumetengeza ajira nyingi sana hasa ndani ya chama tawala.

CHADEMA
kabla hujayumba fikiria wale vijana wa lumumba wanaoshinda mitandao kukutukana ili wapate ujira, fikiria wanasiasa wanaoonekana kuwa maarufu si kwa sababu wana hoja ya kujenga taifa letu bali wanakutukana si tumeona wenyewe bila
CHADEMA Mchumi namba 1 nani angekuwa anamjua?? Je Mwampamba na mwenzako wangewezaje kuendesha maisha mjini??

Bila
CHADEMA wizara ya Wasira ingekuwepo?? vipi kuhusu mzee wa kuladadeki angekuwa ulingoni hadi leo?? Bila CHADEMA inawezekana kabisa Makinda asingekuwa spika si Sitta angeendelea tu!!! vipi yule meya pale Arusha bila CHADEMA angeshapigwa chini.

Msururu ni mrefu wa watu wanaishi kwa kutegemea
CHADEMA ingawa si wanachadema.

Wito wangu wa viongozi wa
CHADEMA ni kuhakikisha CHADEMA kinaimarika zaidi na kuacha marumbando ya kitoto manake kuna watu wengi mno wanapata mkate kupitia ninyi katika ulimwengu huu wa ajira ngumu.
 
True bila CDM Hata Green Guards - Hili Jeshi la Mwigilu lisingekuwepo pia - CDM imeleta ajira (neema) kwa vijana pale wengi hapo Lumumba.
 
Umepatia sana kuandika post yako kwa wino mwekundu kwa sababu ni kweli Chadema inayumba.

You go rocking dudes...
 
Back
Top Bottom