Mbowe, Slaa na Zitto tuvusheni 2015 salama

hii ni dhana potofu, hakuna analipwa kuja kutetea ukweli hapa, watu tunajitolea, kuokoa jamii isipotoshwe na hawa wahuni wa KASKAZINI!

I love ccm, chama chenye viongozi imara, siyo wahuni ambao wanarushiana mawe kwenye vikao, hamna udini ukanda wala ukabila. Ccm oyeeeeeee
 
Mkuu hili jambo sijalitoa hewani wala si la dhana Potofu, yule katibu mweneza wa cha chama twawala alisema wazi kuwa ametuma vijana mitandaoni sasa wewe na Nape nani anaujua ukweli katika hili?

...kama ulikuwa akilini mwangu vile!

...nilikuwa nikijiuliza moyoni' kuwa CDM imewapa watanzania wengi ajira! je ikiyumba itakuwaje?
 
I love ccm, chama chenye viongozi imara, siyo wahuni ambao wanarushiana mawe kwenye vikao, hamna udini ukanda wala ukabila. Ccm oyeeeeeee

Nimependa sana hapo kwenye blue,
Maana umanikumbusha picha hii hapa....

734821_481610008569665_484515988_n.jpg
 
...hii ni sawa, kusema kuwa CDM ikishinda kiti cha Urais 2015 Watanzania waliowengi watapoteza ajira zao!
pia makampuni uchwara yatafilisika na zile taasisi zinazolelewa na vigogo wa chama tawala, pia nazo zitakufa!
 
Tuyazomee MAFISADI -- ooooooooooooooooooooohhhhhhhhhhhhhh - Majangiri -- hayoooooooooooooooooooooooooooooo

523710_116380321844695_1016498854_n.jpg
 
I love ccm, chama chenye viongozi imara, siyo wahuni ambao wanarushiana mawe kwenye vikao, hamna udini ukanda wala ukabila. Ccm oyeeeeeee

Umesahau kumalizia kuwa '...CCM hamna mafidadi, wala wala rushwa, wala hakuna majangili (a.k.a. al-shaabab)...!!!..'

chenge1_0.jpg

Lowassa%2822%29.jpg

1.AbdulrahmanKinanaKatibuMkuu.jpg
 
Huyo muhuni wa CHADEMA alifata nini kwenye halaiki ya wastaarabu?

Umesema 'Wastaarabu'..???
Labda tunatofautiana kwenye 'definition' ya wastaarabu..!!
Wastaarabu wanampiga mawe mtu anayepita njia..??
Haya bob..!!
Labda ustaarabu wa CCM ndivyo ulivyo..
Hii inanikumbusha yule jamaa (mtoto wa mkulima) alipotoa amri ya '...Wapigwe..!!!..'
 
I love ccm, chama chenye viongozi imara, siyo wahuni ambao wanarushiana mawe kwenye vikao, hamna udini ukanda wala ukabila. Ccm oyeeeeeee

Nape Mnauye alizunguka nchi nzima akisema lazima tuvue gamba. Nikajiuliza, 'Binadamu na gamba wapi na wapi?' SASA niambie, Gamba ni nini? Linavaliwaje? Je limeishavuliwa? Nisipo pata jibu hapa ntaanzisha uzi wa kutafuta majibu ya maswali hayo.
 
hii ni dhana potofu, hakuna analipwa kuja kutetea ukweli hapa, watu tunajitolea, kuokoa jamii isipotoshwe na hawa wahuni wa KASKAZINI!

Only the fools have ever imagined in this way.
 
hii ni dhana potofu, hakuna analipwa kuja kutetea ukweli hapa, watu tunajitolea, kuokoa jamii isipotoshwe na hawa wahuni wa KASKAZINI!

kiongozi wa wale vijana wa lumumba huyu hapa povu linamtoka........
 
I love ccm, chama chenye viongozi imara, siyo wahuni ambao wanarushiana mawe kwenye vikao, hamna udini ukanda wala ukabila. Ccm oyeeeeeee

chama cha masogange hoyeeeeeeee......pumbav
 
Una amini kuwa mfumo huharibiwa pia, hata kama kila kitu kilikua in place?

Unafahamu kuwa institution makini huwa wanautaratibu wa kuulinda na kuurekebisha mfumo kila inapohitajika bila kisubiri kuhenyeshwa na matukio???!!!!!!
 
unafahamu kuwa huwa kuna unforeseen situations ambazo ,zinaweza utaesa huo mfumo.naweza ukaplan ndiyo ,lakini huwezi jua adui yako atakuja vipi.
 
Back
Top Bottom