ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Wanaowabeza ni CCM, by th way wanawaogopa. Chadema ni chama kinachokuwa kwa kasi sana. Hayo ni mafanikio makubwa
Teh teh, yaliyosemwa na MWIGAMBA ni ya CCM? CDM kwisha habari yenu.
Wanaowabeza ni CCM, by th way wanawaogopa. Chadema ni chama kinachokuwa kwa kasi sana. Hayo ni mafanikio makubwa
Lakini pia ukumbuke kuwa maneno yako haya yanaweza kutushawishi tuamini kuwa kuwa na wewe unafanyaka kazi hiyo hiyo ya UKIBARAKA ndani ya chama. Haiwezekani mtu anafanya chama kuwa mali yake na watu wanapohoji wanaitwa vibaraka wa CCM.
Hata kama uchaguzi utafanyika leo.CHADEMA hakitaweza kuongozwa kqlwa Maelekezo kutoka Lumumba au Ikulu.
Hakuna kibaraka wa CCM atakayeongoza CHADEMA
Kuliko CHADEMA kiongozwe na mamluki ni bora CCM kiendelee kuongoza na nitakua wa kwanza kujitoa
Kama CCM wana watu wanaowataka wachukue uongozi ndani ya CHADEMA basi wawachukue wakagombee huko CCM.Hakuna kuendekeza wanafiki na wasaliti ambao Mwenyekiti aliwaonya juzi
Infact ningejiskia ashamed sana kama mpinzani ninapoona CCM ndio wanaonipigia kampeni na kunisifia.Ni aibu
Fisi anamshauri mbuzi jinsi ya kuilinda familia yake?It's a tricky affair!
NB:Uongozi wa CHADEMA sio wa kupewa bali ni kuomba ridhaa kwa wapiga kura ambao ni wanachama
Asipogombea Mbowe anaweza kuwa yeyote.Kuna Lissu,Mnyika na wengineo.No silver plate....
Ben, you are over confident! Adui mkubwa wa CCM kwa sasa ni Dr Slaa na Mbowe, sio CDM (amini usiamini). Hujiulizi ni kwa nini hoja na mada zozote humu ndani zinazoihusu CDM lazima pro CCM wazi-divert na kumuingiza Dr Slaa na au Mbowe? Fuatilia utaona, tena kwa bahati mbaya sana humtaja Dr Slaa kwa kebehi na dharau hadi inashangaza.
Kwa hiyo pamoja na kujiamini kwako, napenda kuamini kuwa adui wa CCM kwa sasa ni Dr Slaa na Mbowe, uongozi wao ndio umeijeruhi CCM kwa kiasi kikubwa na wanajua kabisa CDNM ikipata viongozi wengi CCM wanaweza angalau kupumua.
Khaa!! Ukishayaita mapenzi ya Mungu then what?? Ukae chini ulielie na iwe mwisho wa maisha ya chadema? Ni ujinga kuyaoanisha maisha ya taasisi na maisha ya mtu binafsi. Tumia akili wewe :A S 39:Hayo nitayaita mapenzi ya Mungu ila sitaki watoke pale kwa mapenzi ya ccm, vita tunayopigana ni kubwa ajabu sema hauko msatari wa mbele ndiyo maana unalaumu andiko langu.....
Khaa!! Ukishayaita mapenzi ya Mungu then what?? Ukae chini ulielie na iwe mwisho wa maisha ya chadema? Ni ujinga kuyaoanisha maisha ya taasisi na maisha ya mtu binafsi. Tumia akili wewe :A S 39:
Nashukuru kama umeutambua uwepo wetu ila pamoja na yote uongozi wa hao watu ndiyo umetufikisha hapa tulipo na bado tunauhitaji walau utuvushe hapa tulipo ili wakamlishe ngwe yao vzr sana
wewe na Ben Saanane ni vibaraka wa MBOWE na SLAA?
Hata mimi nitakufuataHata kama uchaguzi utafanyika leo.CHADEMA hakitaweza kuongozwa kqlwa Maelekezo kutoka Lumumba au Ikulu.
Hakuna kibaraka wa CCM atakayeongoza CHADEMA
Kuliko CHADEMA kiongozwe na mamluki ni bora CCM kiendelee kuongoza na nitakua wa kwanza kujitoa
Kama CCM wana watu wanaowataka wachukue uongozi ndani ya CHADEMA basi wawachukue wakagombee huko CCM.Hakuna kuendekeza wanafiki na wasaliti ambao Mwenyekiti aliwaonya juzi
Infact ningejiskia ashamed sana kama mpinzani ninapoona CCM ndio wanaonipigia kampeni na kunisifia.Ni aibu
Fisi anamshauri mbuzi jinsi ya kuilinda familia yake?It's a tricky affair!
NB:Uongozi wa CHADEMA sio wa kupewa bali ni kuomba ridhaa kwa wapiga kura ambao ni wanachama
Asipogombea Mbowe anaweza kuwa yeyote.Kuna Lissu,Mnyika na wengineo.No silver plate....
Hapo ndio wanaponichanganya WanaCHADEMA wanaposema akiondoka Mbowe na Dr Slaa CHADEMA itakufa sina uhakika kama wanafahamu wanachokiongea?Khaa!Kwa lugha nyingine hawa watu hawakipendi Chama ila wanawapenda akina Mbowe tu,Pia hawaiamini CHADEMA kama Taasisi iliyokamilika yenye muundo na mfumo makini wenye kutoa muongozo wa namna Chama kiendeshe vipi shughuli zake za kisiasa na namna gani Chama kinaweza kukabiliana na misuko suko ya nje ikiwemo dhidi ya njama za Wapinzani wake wakubwa kisiasa kama CCM.Kama hoja za WanaCHADEMA zina ukweli wowote again Mbowe na wenzie walaumiwe kwa kuijenga Taasisi dhaifu inayowategemea watu wachache ku-survive kisiasa.