gasto genaro
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 780
- 554
Habari zenu wakuu,
Leo Gazeti la Tanzania Daima kuna habari isemayo kuwa, Mbowe aendelea kusisitiza kuwa hadaiwi senti yoyote na NHC.
Habari hiyo imeandikwa kwa maandishi yenye rangi nyekundu kuonesha msisitizo nadhani. Maana habari nyingine zote zimeandikwa kwa rangi nyeusi.
Siyo kitambo sana tangu Mahakama izuie NHC kupiga mnada mali za Mbowe hadi hapo Kesi ya msingi itakapotatuliwa.
Najiuliza tu, ilikuaje NHC ikamwacha Mbowe muda mrefu hivyo bila kulipa kodi?? Kwa mawazo yenu wadau mnaonaje hili suala? Mkipanga logic zenu, kuna angalau Mantiki yoyote inayokuja kwamba Mbowe anadaiwa kweli?
Nawasilisha..